Updates: Kesi ya kupinga ubunge wa Lema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Updates: Kesi ya kupinga ubunge wa Lema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DALLAI LAMA, Feb 13, 2012.

 1. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nilipita mahakamani majira ya saa 3asb kesi ilikuwa bado kutajwa,ila wafuasi wa cdm walikuwa nyomi,MWENYE TAARIFA ATUJUZE KILICHOJIRI KTK USHAHIDI.vp Nanyaro upo wapi?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Atakuja hapa Crashwise, ataweka hadi vielelezo vya visual!
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nafsi yangu nilikuwa nje ya mji.

  Nanyaro,Crashwise kama ulikuwa ndani ya mji tupe yalijiri tafadhali!
   
 4. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hao wanapoteza mda tu
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Wasitiletee ujinga hawa sisiem
  tutafunga njia km mwaka 2010 oooh
   
 6. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hakuna kesi hapo,magamba wanapoteza muda wa watu!wenyewe wanajua japo wameshka mihimili yote lakini hata wafanye nini kwa Arusha mjini hawawezi kamata jimbo!
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu Ngongo.
  Kama umepita mahakamani leo tufahamishe kinachoendelea.
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  ngongo alikunywa gongo nyingi jana
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Lema; mbunge na mwakilishi wa jimbo la Mahakamani!!
   
 10. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  si bora huyu anawakilisha mahakamani,italingana na nyie mliyemfanya Mwakyembe akawakilishe jimbo la India.
   
 11. papason

  papason JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Vimagamba vya huyu JF vimeisha anza ohoo CDM mtapata majimbo mengi ila mtayapoteza machache ( likiwamo Jimbo la Arusha mjini) SASA NI HIVI HATUPOTEZI JIMBO LOLOTE LILE ILA TUTANYAKUA MAJIMBO MENGI TUUU LIKIWEMO ARUMERU MASHARIKI full stop!
   
Loading...