Ni wananchi pekee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wananchi pekee

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KALEBE, Feb 14, 2012.

 1. K

  KALEBE JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 772
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 80
  Ninaomba nipewe ukweli kati ya rais jk waziri mkuu kayanza spika makinda naibu spika job ndugai na katibu wa bunge kashilila ni yupi kati yenu anayesema ukweli wananchi huku sisi tumebaki midomo wazi hatujui tufanye nini hadi sasa kwa mfano spika anasema ya kuwa posho walikwisha anza kujilipa toka kitambo raisi yeye anasema bado hajabariki bado lakini waziri mkuu anasisitiza ya kuwa mambo yako vizuri katibu unasema kuwa bado posho hazijaidhinishwa nani mkweli sasa na je tumuamini nani kati yenu
   
Loading...