Chadema wamezidi kuanguka Uzini ukilinganisha na Uchaguzi wa 2010 - Jussa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wamezidi kuanguka Uzini ukilinganisha na Uchaguzi wa 2010 - Jussa

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mtu wa Pwani, Feb 13, 2012.

 1. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kutokana na matokeo ya Uchaguzi uliofanyika uzini, ukweli ni kuwa chadema wamezidi kuanguka na sio kuipiku CUF kama ilivyokuwa ikinadiwa hapa.

  haya ni maneno ya Jussa alioandika kwenye facebook akiambatanisha na takwimu za uchaguzi uliofanyika mwaka 2010


  Nimeulizwa sana kuhusu matokeo ya Uzini. Bahati mbaya kama ilivyo kawaida ya Watanzania walio wengi huwa hatufanyi utafiti, uchambuzi wala upembuzi na badala yake tunakuwa wepesi wa ku-draw conclusion. Kumekuja analysis kuwa Chadema sasa inaipiku CUF kwa kushika nafasi ya pili na wengine wakadiriki kusema kufukuzwa kwa Hamad Rashid kunakiathiri Chama. Niwarejeshe kwenye matokeo ya 2010 kwa nafasiya Ubunge jimbo la Uzini ambapo CCM ilipata kura 6,651, Chadema 617 na CUF 524. Aliyekuwa mgombea wa Chadema kwa nafasi hiyo ni huyu Ali Mshimba Mbarouk ambaye amegombea Uwakilishi mara hii. Sasa kutoka kura 617 hadi 281 amepoteza mvuto kiasi gani? Isitoshe, CUF kwa kuzielewa siasa za Zanzibar hatukusumbuka kutumia fedha nyingi. Tumetumia milioni 7 tu wakati Chadema wamenambia wametumia milioni 60 (haidhuru mimi naamini wametumia zaidi kwa mambo tuliyoyaona kule). Sasa katika hali hiyo, kuna lipi jipya? Nani aliyepoteza? CUF inajua inachokifanya.
   
 2. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kimahesabu, CUF wameipiku CDM.
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  CUF ni chama cha Siasa?
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  CUF si walisema watashinda hilo jimbo? sasa ni siasa zipi walizielewa mapema?
   
 5. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mmmh! Hii nayo ni hoja!
   
 6. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Na wewe Jussa ebu tumia akili kidogo,hauoni hata idadi ya wapiga kura imepungua?maana hata idadi ya kura kwa vyama vyote ilivyokua 2010 ni pungufu ya sasa!hacha fikra mgando!
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ukisikia spinning basi hii ndiyo yenyewe.

  Jussa anasema hivi " CUF kwa kuzielewa siasa za Zanzibar hatukusumbuka kutumia fedha nyingi. Tumetumia milioni 7 tu wakati Chadema wamenambia wametumia milioni 60 (haidhuru mimi naamini wametumia zaidi kwa mambo tuliyoyaona kule)".

  Labda Jussa angefafanua, CUF wanaelewa kitu gani hasa kuhusu siasa za Zanzibar? Anaamanisha nini anaposema 'kuelewa'? kugawana vyeo? Na kwa nini watumie milioni 7? za nini wakati wanaelewa siasa za Zanzibar? CUF kushindwa Igunga ilikuwa kigugumizi lakini watu walidhani ni kwa sababu CUF hawana 'time' na Tanganyika, sasa Zanzibar kwa nini CUF ishike nafasi ya3? tena CUF inayoelewa siasa za Zanzibar? Wanaelewa nini hawa wajomba?
   
 8. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  Rev hebu twambie CUF ni chama cha nn ?


  kumbe fedha zote mlizotumia mmeanguka kiasi hicho? halafu ukweli mmeuficha mnatangza kuwa sasa mnatambulika?

  kwa kweli chadema poleni sana, mna safari kubwa kwa zanzibar
   
 9. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Teh!Jussa bwana!Eti tumetumia milioni 7 tu!
   
 10. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #10
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Cuf inajua inachokifanya wakati inazidi kuangamia,hizo ni hoja za kitoto sana!
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mnalijua mnalofanya kwakukata tamaa kabla hata ya kujaribu? Sidhani kama kwa mtu mwenye akili timamu anawezakusema anajua anachokifanya kwakukata tamaa kabla hata ya kujaribu nyie semeni siasa imewashinda na muwaaachie wanaoweza
   
 12. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #12
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  huyu jusa mbona mzembe hivi,idadi ya wapigakura wa sasa anaijua au?kama ni hivyo hata ccm iliyoshinda imepoteza mvuto!
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ni chama ambacho siasa imekishinda kwakuweka maslahi mbele
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kifo cha mfa maji ndivyo kilivyo atatapatapa kwa hali na njia zote
   
 15. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #15
  Feb 13, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Mimi pia ilinishangaza hii.Ingekuwa vizuri angetuwekea asilimia za kura kwa miaka husika,au hii nayo inahitaji degree ya hisabati kuielewa?
   
 16. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #16
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mume wao katulia tuliii..
  OTIS
   
 17. F

  Froida JF-Expert Member

  #17
  Feb 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Wote CUF na Chadema lazima wajiulize mara mia kidogo nini ndani ya mawazo ya mwananchi kwa kweli hata kama tunasema siasa za zanzibar zinajulikana jee ni wakati wa kunyosha mikono juu tukaacha hali ikawa hivi kama wananchi kweli hao asilimia 91% wamepigia kura CCM kuna maana gani basi ya vyama vya upinzani kuingia kwenye chaguzi mimi nasema tunahitaji kufanya utafiti wa kina zaidi tena kwa muda mrefu kuna nini ndani ya mawazo ya watanzania katika chaguzi
   
 18. B

  Buto JF-Expert Member

  #18
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu Jusa atakuwa anamatatizo katika mathematics. Inabidi arud darasan akafundishwe mathematics mana naona anazidi kuchanganyikiwa kila siku ni heri ya jana
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Ngoja waje Pro-Chadema JF kina Molemo, MKE GANI, Tumaini Makene.

  Yaani kutoka kura 617 hadi kura 281 ndio kujitahidi?
   
 20. F

  FJM JF-Expert Member

  #20
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mahesabu ya number 3 kuwa mshindi yako CCM-boss wake na CUF. Tuliona jimbo moja huko Tabora bwana (Kingwangala) number 3 anakuwa number 1! Nadhani Jussa anaonekana kufuzu vizuri training ya CCM maana anataka kusema kwa CUF kushika number 3 basi wamewashinda CHADEMA walioshika number2! Excellent student!.

  Soby angalia ratio ya kura, CCM wana 91%, CHADEMA wapo kwenye 4% na ushee + na CUF wana around 3%. Ah... nimekumbuka, Jussa kasoma sheria, anaweza kuwa na allergy ya mahesabu!
   
Loading...