Massenberg
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 1,173
- 1,370
Kwa mujibu wa taarifa za habari jioni hii, mashitaka dhidi ya wanaharakati akina mama Kijo-Bisimba, Ananilea Nkya na wengineo yamefikishwa kwa Mwanasheria Mkuu.
Vielelezo ambavyo vimekamatwa ni pamoja na mabango yaliyotumika.
Hii ni dhahiri kuwa serikali ya Baba Mwanaasha inajaribu ku-divert attention toka suala halisi la kuwachukulia hatua watu ambao ndiyo chanzo cha mgomo na badala yake inaonea raia wenye nia njema.