Hatimaye posho mpya za wabunge zafutwa rasmi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye posho mpya za wabunge zafutwa rasmi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritz, Feb 14, 2012.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Wanabodi.
  Hatimaye nyongeza ya posho za vikao vya wabunge kutoka Sh70,000 hadi Sh200,000 zimefutwa, Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema.

  Kauli hiyo rasmi kutoka kwa kiongozi wa Bunge imekuja baada ya kuwapo kwa taarifa za kutatanisha kuhusu posho hizo..

  Baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Spika wa Bunge kutangaza Rais Jakaya Kikwete, aliidhinisha lakini Ikulu ikakanusha.

  Ndugai alisema posho hizo hazijawahi kulipwa kwa kuwa Rais hajatoa kibali cha kufanyika hivyo.

  Hakuna cha spika alisema hapo Ikulu imesema Rais hajasaini posho zitaendelea zile za zamani kama kawaida.

  SOURCE: MWANANCHI FEB 14 2012
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wewe binafsi unalisemeaje suala hili?..maana wewe hutabiriki, si ndege si mnyama!
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,605
  Likes Received: 4,708
  Trophy Points: 280
  Hiyo haitoshi, zingefutwa kabisa hata hizo 70,000/-. Watu wenyewe kazi yao kulala tu na kupumulia masaburi,hizo 80,000/- za kujikimu zinawatosha sana hawa wachumia tumbo.
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu anatakiwa awajibike hapo. Serikali moja lakini kauli tofauti tofauti. PM kauli yake, Spika kauli yake, naibu spika naye na mwisho Mkuu wa Serikali na Nchi naye anakanusha.
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  PakaJimmy,
  Mie binafsi sikubaliani na wabunge kuongezwa posho hizo huo ndio msimamo wangu.
   
 6. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano uliopitishwa katika kikao cha bunge la bajeti 2011 posho zote za makalio zitakuwa zimefutwa!
   
 7. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  PakaJimmy
  Huyo ni Mnyama Popo.
  Ingawa ana mabawa huyo bado si ndege kwa maana anamatiti yanayonyonyesha kama mammals wengine.
  Please note-elimu ya Kibiologia inahitajika ili uewze kumfahamu vizuri.
   
 8. m

  msambaru JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Waliosema raisi amesaini posho mpya aibu kwao kudadeki
   
 9. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kabla ya kutolewa kwa taarifa hii ilitakiwa Rais awe ameshamwondoa Waziri Mkuu na kulivunja Baraza la Mawaziri. Haiwezekani viongozi waliokabidhiwa dhamana ya kuliongoza taifa letu wanakuwa na kauli tata na zinazopingana kwa kiasi hicho.

  Aidha, Wabunge walitakiwa pia kupiga kura ya kutokuwa na imani na Spika kwa kauli zake tata bungeni na nje bunge pia.
   
 10. O

  Omr JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shibuda anaua mtu
   
 11. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Safi.
  Hakuna posho na zisiongezwe kwa miaka 20 ijayo.
  OTIS
   
 12. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Good move. Sasa wale walioupotosha UMMA (Pinda na Makinda) wameomba radhi?
  Na sijui ni kwa nini instinct zangu zinaniambia hii kitu imewekwa pending kwa muda tu.
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0

  Siyo Shibuda tu, wako wengi waliosikitika kuzikosa.
   
 14. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,985
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Kwa hilo Mkuu PJ naona Ritz tuko pamoja, some times to agree to disagree, JF inasonga mbele!!!

   
 15. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Sasa yeye ndio atauawa na hivi siku hizi anavaa collar shingoni kama mbwa koko!!
   
 16. King2

  King2 JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyu Ndugai si ndio hadi alikuwa anataka hadi kutoa watu roho kwa ajili ya hizo posho. Leo ndo anajifanya na yeye hazikubali. Mnafiki mkubwa huyo.
   
 17. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #17
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,985
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Inawezekana Mkuu watu wanapima upepo wanaweza kuirudisha kimya kimya!!!!!

   
 18. Mtafiti1

  Mtafiti1 JF-Expert Member

  #18
  Feb 14, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwanini?
   
 19. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #19
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,136
  Likes Received: 10,493
  Trophy Points: 280
  au wangepewa wabunge wa CDM maana hao ndo wanafanya kazi kweli kwa wananchi.
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Feb 14, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Madaktari waliposikia kuwa posho za wabunge zimepanda nao wakachachamaa na kugoma.

  View attachment 47352
   
Loading...