Siasa zetu zimegeuka hivi!?

omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,325
2,498
Salaam wana jamvi,

Nadhani hii ilipaswa kwenda kwenye jamiiphoto lakini kufuatana na maudhui yake, nimeileta hapa kwenye siasa kwa maana ina-reflect hali halisi zilivyogeuka ukilinganisha na hapo mwanzo wakati wa Mwalimu!

Tulikuwa na nia ya kujenga nchi (kulima shamba) lakini hatukutaka kutoka jasho na badala yake sasa tunakula hata vitendea kazi pamoja na kuuza nchi yenyewe! Ama kweli 'a picture speaks more thousand words'

Hii bila shaka itatusaidia kutafakari juu ya mustakabali wetu kama nchi ukichukulia kuwa imetengenezwa na msanii ambaye pia ni Mtanzani mwenzetu, Kingo.

Nawasilisha

Kingo.jpg
 
Hawa wanasiasa tuliowapa dhamana wamekula mpaka mtaji (ng'ombe wa kulimia) !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom