Wabunge wote vijana kwa tiketi ya CHADEMA kutikisa mkoa tarajiwa wa GEITA kwa siku 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wote vijana kwa tiketi ya CHADEMA kutikisa mkoa tarajiwa wa GEITA kwa siku 3

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, Feb 12, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nikuanzia tarehe 03-05 Machi,2015 ni Geita Mjini,kata ya Nkome na Buselesele:Mnyika,Mdee,Zito,Lema,Silinde,Wenje,Higness nk.Kifupi ni wabunge wote vijana kupitia CHADEMA(wakuchaguliwa na wa viti maalumu).

  Karibuni wote.
   
 2. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asante kwa taarifa mkuu! ******* hadi 2015 watakuwa wameshanyanyua mikono juu.
   
 3. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Big up cdm,mpango huo uende mbali zaidi, kwa mpango huo kama mtapita walau wilaya moja kila mkoa @mwaka ni lazima kieleweke.MH.ZITO NIKUTAARIFU KWAMBA KOROGWE UNASUBIRIWA KWA HAMU KUBWA KUTOKANA NA ******ZAO WANALOIOTA MCHANA KUTWA!
   
 4. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa maamuzi, kwa kufanya hivyo tutakuwa tumepiga mbwa na mwenye mbwa,cku nyingi makamanda munasubiriwa ,ki ukweli nkome ccm haipo ila wananchi wanalazimishwa tu, mwaka jana wananchi waliandamana kumkataa diwani wa ccm ambapo kamakawa dola ilitumika ,mwananchi mmoja alpigwa risasi na kufa na wengine kujeruhiwa. Mabaloz wa ccm walisha hama chama. Njooni mvune,mavuno ni mengi mno.MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU BARIKI HARAKATI.
   
 5. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Wabunge wote vijana....u mean hadi selasini au shibuda??
   
 6. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nna hamu sana ya kumsikiliza kijana we2 godbless lema
   
 7. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkuu unasubiriwa kwenye ile thread yako ya Uzini ukatoe ufafanuzi wa kile ulichosema kuhusu matokeo ya uchaguzi
   
 8. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha! Keshasahau mkuu....anakimbilia kuanzisha thread na kuziacha hewani.
   
 9. M

  Makupa JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  wenje ana miaka mingapi
   
 10. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wasiishie mjini waende hadi vijijini huko ndiko tunakoibiwa kura.
   
 11. jobe ayoub

  jobe ayoub JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 206
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  bigup kwa harakati zenu za kutoa elimu ya uraia,japo maggamba wanaona ni uhaini.
  zitto& mnyika+ mdee,ongozeni harakati hizo kwa amani,nawaaminia.
  Lema,nakukubali sana,naku-feel more than i can say.harakati zako za arusha zisambaze nchi nzima.
  wakati maggamba wananyukana NA POSHO ZAO,nyie mnakata mbuga..
  BIG-UP CHADEMA.
   
 12. j

  jigoku JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hongera kwa juhudi hizo na asanta mkuu kwa taarifa
   
 13. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Je ni habari za uhakika hizi?
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hii Mikoa ya kuanzishwa kisiasa ipo Kazi........... Kabla ya uanzisha Mkoa wangejegha mahospitali na huduma muhimu za kijamii. Hatua ya mwisho ndio waweke uogozi wa Kisiasa.
   
 15. T

  Terex Member

  #15
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Ndugu wana JF kutakuwa na mkutano mkubwa sana utakaofanywa na wabunge wote vijana wa chadema kuanzia tarehe 3-5 machi mwaka huu,pia watafanya shughuli mbalimbali za kufungua matawi sehemu mbalimbali katika mkoa wetu tarajiwa wa Geita ikiwa ni pamoja na kuingiza wanachama wapya.Vilevile kutakuwa na harambee kwa ajili kujenga chama ktk wilya ya geita,shughuli itaongozwa na kamanda mkuu RODGERS RUHEGA mbunge mtarajiwa 2012,nawasilisha.:poa:poa​
   
 16. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kila la kheri katika mapambano,huyo mbunge mtarajiwa wa 2012 kuna uchaguzi wapi?
   
 17. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heshma kwako mkuu! Munasubiriwa kwa shauku kubwa sana ,raia wanahitaji uamsho kwani maisha bora kwao hayaonekani .Kuanzia kata ya Nzera hadi Nkome raia wamechoka sana,njooni mavuno ya kutosha. Kamanda Rogerz analifahamu hilo.TUKO PAMOJA MAKAMANDA.
   
 18. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Aiseee,
  Hiyo imekaa njema.
  Rogers Ruhega alimshinda yule Mlevi Max aliyepigwa BAN bungeni kwa kulewa hadi mjengoni.
  Kila la kheri wana Geita.
  Nitajitahidi nije niwaunge mkono, kwa sasa niko hapa Arusha nilifika kusikiliza kesi ya Mh. Lema
   
 19. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mbona mie nilisikia alishika **** la muhudumu wa mjengoni ambae ni mke wa mtu?

   
 20. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #20
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Nipo Geita.Kwa kweli Geita ni promising constituency kwa opposition.Hali iliyopo ni mbaya,wenyeji kugeuzwa wakimbizi na wageni.Hali ya Geita haina tofauti na jimbo la Ogun Niger-Delta enzi za harakati za Ken Sarowiwa.

  Vijana wanahujumiwa na wawekezaji wa kikaburu wakishirikiana na polisi.
   
Loading...