Ismail Jussa na siasa katika ELIMU

Bwanamdogo

Member
Aug 6, 2011
66
19
Kitendo cha Naibu katibu mkuu wa CuF kulalamikia matokeo ya kidato cha nne eti wanzanzibari wanabaguliwa kwa kuwa katika shule kumi bora ya Zanzibar ni moja tu (Lumumba sekondari) na eti shule nyingi zilizofutiwa matokeo ni za kutoka Zanzibar pia. Mimi natilia shaka uwezo wake wa kufikiri pamoja na kiwango chake cha elimu kwani sidhani kama NECTA huwa wanasahihisha mitihani kwa kuangalia unatoka upande gani wa muungano. Mimi nashauri kama anaona hawakutendewa haki awashauri wanafunzi wakate rufaa NECTA mitihani yao irudiwe kusahihishwa badala ya kuingiza siasa kwenye suala nyeti kama hilo. Nawasilisha

(Source: Nipashe Radio one)
 
Vilaza utawajua tu huyu bwana sijui anashida gani kuna haja ya kufuatilia elimu yake pia isijekuwa ndio kizazi cha hawa tunaoambiwa karatasi zao zimekutwa na muandiko tofauti kila somo na wataalamu wa miandiko wamethibitisha kuwa watahiniwa hao wameandikiwa sasa unategemea nini??
 
Huyo Juha Jussa ameshajipatia sifa ya kuwa mfuko wa hewa yenye joto la uvundo(windbag of stale and hot air)
 
hebu tazama hii picha, kisha huitaji kuelezwa kama huyu ni timamu ama laaah....unajua Kisaikolojia unaweza kumtafsiri mtu hata kwa picha

19666_102281289805900_100000720881840_61447_5452770_n.jpg
 
hebu tazama hii picha, kisha huitaji kuelezwa kama huyu ni timamu ama laaah....unajua Kisaikolojia unaweza kumtafsiri mtu hata kwa picha

19666_102281289805900_100000720881840_61447_5452770_n.jpg
maamuzi mengi ya maana na ambayo yangelikuwa yametusaidia kupiga hatua japo kidogo kimaendelea yamekuwa yakikwamishwa na watu dizaini ya hawa.

Thank God, technology imetufikisha hapa ambapo angalau kila mtu anaweza kuwajadili hapa jukwaani!

Kitendo cha Naibu katibu mkuu wa CuF kulalamikia matokeo ya kidato cha nne eti wanzanzibari wanabaguliwa kwa kuwa katika shule kumi bora ya Zanzibar ni moja tu (Lumumba sekondari) na eti shule nyingi zilizofutiwa matokeo ni za kutoka Zanzibar pia. Mimi natilia shaka uwezo wake wa kufikiri pamoja na kiwango chake cha elimu kwani sidhani kama NECTA huwa wanasahihisha mitihani kwa kuangalia unatoka upande gani wa muungano. Mimi nashauri kama anaona hawakutendewa haki awashauri wanafunzi wakate rufaa NECTA mitihani yao irudiwe kusahihishwa badala ya kuingiza siasa kwenye suala nyeti kama hilo. Nawasilisha

(Source: Nipashe Radio one)

Kabla kumuhukumu ni vizuri ujue tamko lake sio haya magazeti yenu ya uchochezi yanavyomnukuu.

Pitia mtandano wa Mzalendo au zanzinet utaliona na kuona maoni yake.

Kumbuka kuwa Jussa ni mwanasharia aliyebobea kitaaluma na ana uzoefu mkubwa sana katika siasa tena zile za mikikimikiki.

Hongera sana Jussa. Tanganyika wanakuhara wakisikia jina lako.

anatafuta umaarufu tu, hana mpya!

Sijui ni mimi peke yangu au kuna mtu mwingine mwenye hisia kuwa Ismaili Jussa anaendesha kampeni za kichonganishi sana. Inasikitisha kuona kiongozi wa umma anaeyeshabikia watu kufarakana. Kama Jussa anaona kuta tatizo kati ya Tanzania bara na Zanzibar kwa nini asitafute njia nzuri ya kutatua badala ya ku-incite had feelings kwa wananchi?

Baraza la mtihani wanaonea shule za Zanzibar kwa sababu gani? Wanapata faida gani hawa NECTA kwa kufuta matekeo kwa baadhi ya shule za Zanzibar? Na Jussa amejirdhisha kabisa kuwa matekeo mabaya kwa baadhi ya shule za Zanzibar ni kutokana na NECTA na sio uwezo wa wanafunzi?
 
Huyu Ni juha sio Jusa!! Siku zote Huyu Ni anti union!!....hana Ishu na nashauri tusipoteze muda kumjadili bora tuendelee na topic ya madaktari kwani bado iko HOT.
 
Kabla kumuhukumu ni vizuri ujue tamko lake sio haya magazeti yenu ya uchochezi yanavyomnukuu.Pitia mtandano wa Mzalendo au zanzinet utaliona na kuona maoni yake.Kumbuka kuwa Jussa ni mwanasharia aliyebobea kitaaluma na ana uzoefu mkubwa sana katika siasa tena zile za mikikimikiki.Hongera sana Jussa. Tanganyika wanakuhara wakisikia jina lako.
Wewe Ni RAIA wa wapi?
 
Kabla kumuhukumu ni vizuri ujue tamko lake sio haya magazeti yenu ya uchochezi yanavyomnukuu.

Pitia mtandano wa Mzalendo au zanzinet utaliona na kuona maoni yake.

Kumbuka kuwa Jussa ni mwanasharia aliyebobea kitaaluma na ana uzoefu mkubwa sana katika siasa tena zile za mikikimikiki.

Hongera sana Jussa. Tanganyika wanakuhara wakisikia jina lako.

Kumbe ana uzoefu mkubwa kwenye siasa mimi nilidhani ana uzoefu mkubwa kwenye masuala ya elimu....na kwa nini alalamike? Yeyey ni mbunge kwa nini wasijitenge na NECTA-Muungano waanzishe NECTA-Zanzibar halafu wawe wanawapa watoto wao A+++?

Ulalamishi wa hivi ni unafiki tu.
 
Huyu jamaa ni hatari sana, anatumia uelewa mdogo wa waliofeli kujipatia umaarifu wa kisiasa. Alichokifanya hapa amesoma mood ya watu wale na kukurupuka na hili. Elimu sio suala la kukurupukia ni suala la mtu na mtihani wake na wasahihishaji wanatoka kuko zenj pia. Jamaa hana detail za kutosha ila anajua tu wapo vilaza wa aina yake watamuunga mkono. Wanasiasa wa aina hii wanapaswa kutoswa maana hana tija kwa jamii, badala ya kusistiza vijana wasome ili wapate kuelimika yeye angependa baraza la mitihani liweke tu division one hata kwa vilaza ili kwenye top ten wao shule 5 na Tanganyika shule 5. This is totally crap
 
Kabla kumuhukumu ni vizuri ujue tamko lake sio haya magazeti yenu ya uchochezi yanavyomnukuu.

Pitia mtandano wa Mzalendo au zanzinet utaliona na kuona maoni yake.

Kumbuka kuwa Jussa ni mwanasharia aliyebobea kitaaluma na ana uzoefu mkubwa sana katika siasa tena zile za mikikimikiki.

Hongera sana Jussa. Tanganyika wanakuhara wakisikia jina lako.

Kabobea kwenye sheria zipi, kama waliobobea ndio wanaoongea upunguani kama huyu basi ZNZ inaombwe kubwa la wafikiriaji
 
Kama kawaida. Atoe hoja NECTA itolewe kwenye mambo ya Muungano waendelee na hayo madudu.
We have long way............!
 
Kabobea kwenye sheria zipi, kama waliobobea ndio wanaoongea upunguani kama huyu basi ZNZ inaombwe kubwa la wafikiriaji

Kweli Jussa kiboko cha magwanda.

Na kwa taarifa nilizopewa leo baada ya swala ya ijumaa Malindi, Jussa ataelekea Uzini.
Sijui Padre atatokea wapi akisikia Jussa ameingia uzini.

Hongera sana Jussa.
 
hebu tazama hii picha, kisha huitaji kuelezwa kama huyu ni timamu ama laaah....unajua Kisaikolojia unaweza kumtafsiri mtu hata kwa picha

19666_102281289805900_100000720881840_61447_5452770_n.jpg

maamaaa, kweli kabisa huyu si timamu hebu angalia picha! Anafanana na yule alomzibua kibao raisi mstaafu mh Mwinyi!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom