Dk Slaa: Sina mpango wa kuwania Ubunge Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk Slaa: Sina mpango wa kuwania Ubunge Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Patriote, Feb 18, 2012.

 1. Patriote

  Patriote JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema hana mpango wa kugombea ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki.Juzi, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alikaririwa akisema kama Dk Slaa ataamua kuwania ubunge katika jimbo hilo, chama kitaheshimu uamuzi wake akisema: “Katika suala la kugombea, utashi binafsi ni jambo la msingi... kama Dk Slaa ataamua kugombea ubunge Arumeru Mashariki, tutaheshimu uamuzi wake.”

  Mbowe alisema Dk Slaa amekuwa akiombwa kugombea ubunge katika maeneo mengi ikiwemo Igunga na chama hakikuwahi kumlazimisha kwani jambo la kwanza ilibidi mwenyewe aonyeshe utashi binafsi wa kutaka kuwania kiti hicho.“Dk Slaa aliwahi kuombwa akagombee Igunga lakini hakwenda. Hii ni kwa sababu anakubalika karibu kote nchini, hivyo kama atakuwa na utashi binafsi kwanza, nadhani taratibu za chama zitatumika tu kufikia uamuzi,” alifafanua.

  Lakini akizungumza katika mahojiano maalumu na Kituo cha Televisheni cha Mlimani jana, Dk Slaa alisema hafikirii kuwania ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa kuwa kazi yake ni kukijenga chama kitaifa ili kiweze kupata wabunge wengi.

  Alisema hawezi kujifunga kwenye jimbo moja wakati alishasema kuwa kazi yake ni kutetea wananchi wa Tanzania kwa ujumla kwa kukijenga chama chake.“Siwezi kujifungia kwenye jimbo moja, nilishasema kazi yangu ni kukijenga chama ili kiweze kupata wabunge wengi,” alisema Dk Slaa.

  Source: Mwananchi

  Maoni yangu

  Namshkuru sana sana Dk. Slaa kwa kufanya maamuzi haya yenye busara, ni ukweli usiopingika kuwa hata angeamua kugombea asingeshindwa, ila tatizo lililopo ni hawa wenzetu wangefanya michezo yao ya kila aina ili Dk. apoteze ushindi ili wapate ya kusema. Dk. endelea kukijenga chama ili 2015 tuwe na wabunge wa kutosha na hata ikibidi tuishike nchi.
   
 2. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa sisi ma great thinker tunajua kuwa hawezi kushinda sasa anajikosha kosha tu hana lolote
   
 3. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  dunderhead
   
 4. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...am happy to read it.
   
 5. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  After being put down by JK in the previous presidential vote, Slaa's appetite for public post seems to have been severely wrecked. That literally was the final time the priest-turned-politico ever contested election. Mbowe should get himself prepared to bear party's flag in the forthcoming poll because it is virtually impossible to prevail upon Slaa to re-think his decision. ,
   
 6. M

  Mkatakiu Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema ni chama chenye kuona mbali sana na nina uhakika mwaka 2015 Kitachukua nchi maana CCM wameshindwa kuwawajibisha mafisadi wao eti kinawaomba watafakari!! Sasa sisi tunasema CCM wawakumbatie mafisadi wao na Chadema kiwakumbatie wananchi.

  Arumeru sasa tumeamua hatutachagua mtu bali tutachagua chama na chama chenyewe ni CHADEMA. Kwahiyo nyie msiumize kichwa tuleteeni mtu yeyote lakini asiwe muislamu. Sio kwamba hatutaki uislamu au tunawachukuia hapana kwani tunajua sote tunaabudu mungu mmoja ila tu kwasababu ya culture na eneo letu na ushawishi kwa mama zetu.

  Kila mpenda amani anaipenda CHADEMA na tunaamini ukitaka maendeleo ya kweli ni lazima ubadilike kwani tukiendelea kuchagua CCM tutapata yaleyale ambayo hatujaridhika nayo.

  CHADEMA Hoyeee.....
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Umeandika ki Faiza Foxy bibie
   
 8. Patriote

  Patriote JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ila huyu mbona anaonekana kama vile ni Mzee zaidi ya Faiza Foxy!!
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Halafu Mzee mwenye magamba ya kutosha Kama kingunge au Mzee wa gombe
   
 10. S

  STIDE JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  "Kichenchede" (by Bigirita)
   
 11. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Exactly! I expected such an answer from the allmighty His excellence Dr.WPS.
   
 12. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  like ur not fool
   
 13. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  Uamuzi mzuri kwa manufaa ya chama na wanachama wake,endelea kujenga chama ili 2015 nchi izaliwe upya mikononi mwa wana-chadema,endeleza plogram Dr Slaa
   
 14. M

  Mkolakumwezi Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ..
  MaximumMagambas at work,tatizo lenu nyie wana Magamba mnaiogopa Chadema pia mnamuogopa sana tena sana Dr WP Slaa na mjue imekula ndie tumtakae zaidi 2015
   
 15. M

  Mkolakumwezi Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilitegemea kauli kama hii kwa kiongozi makini mwenye Maono ya mbali Mh Dr WP Slaa,unahitajika sana na waTz mkuu wangu Dr Slaa.
   
 16. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  tumesalitiwa,tumenyonywa, tumeisha,
  dk ni kibiko chenu magamba,
  how much are you paid, hata kama ni milioni hiyo kazi ya laana,wizi ,ubabe,dhuluma, kudanganya kamwe sitaikubali daima!
   
 17. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Dada, hivi una undugu na Mwita25 Mnafanana..
   
 18. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  sasa nina amani sana baada ya kuipata hii habari
   
 19. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,322
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Acha kusingizia great thinker sema kwa sisi 'Magamba'
   
 20. O

  Omr JF-Expert Member

  #20
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bahati yake kaona mbele, hii ndio ingekuwa pigo la pili kwake.
   
Loading...