Kaka Nape agombee Arumeru Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaka Nape agombee Arumeru Mashariki

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by MPAMBANAJI.COM, Feb 18, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Kaka salam, umekua mahiri sana katika kuzungumzia chama,nadhani pia ni vizuri ukaamua kuwania ubunge ili kujijenga katika hoja za kitaifa kwenye muhimili wa Bunge.Njoo Meru upambane na Nasiri. Bila shaka utashinda kwa umahiri wako wa hoja na ushawshi.Tutapenda sana ukikutana na vijana wengine Bungeni katika kutoa mawazo ya kujenga Nchii hiii. Tangaza nia Kaka.
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hahahahaaaaaaaa sina la kusema
   
 4. k

  kitimtim JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Kaka angu nape amesha potoka na kupotoshwa vya kutosha, kwa hili sisi kama wanafamilia hatutapenda kuona ndugu yetu kuendelea kupotoshwa zaidi, NAPINGA HOJA
   
 5. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Peleka chit chat hii thread
  OTIS
   
 6. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  teh teh teh..usimdanganye mwenzio ooh me simo..washapoteza hapo. na hata hawezi kwend jk kwan anweza kuanguka kwenye kampeni kama jangwani
   
 7. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Nape akigombea na kushinda ntaacha kufatilia siasa na ikiwezekana ntaenda uhamishoni na kuchukua uraia wa nchi,haiwezekani vuvuzela ashinde ubunge
   
 8. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Hakuna haja ya kugombea pale. Aendelee kueneza itikadi za chama. Sio wakati mufaka kwake, kama Slaa alivogoma, naye Nape hakuna haja. Nape endelea na kazi ya kuimarisha chama ili imani irudi kwa Watanzania. Big up brother.
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  jk kufungua kampeni za ccm arumeru!
   
 10. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Akigombea arumeru nitamsaidia kampeni kwa sababu mimi ni chalii ya kipande hiyo na kwa vile lazma aje na mabilioni na tindikali sitajali aibu ya kushindwa kwa sababu ndani ya mwezi nitakuwa nimeshatoka.

  Nitamwomba aniweke kitengo cha chakula niwe nakusanya mbuzi za pilao kutoka kwa moromboo.

  Kuna chali yangu mmoja pale kikatiti yeye tutamwomba ampe chupa la tindikali kwa sababu alipitia komando yoso enzi za mwinyi.
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,244
  Trophy Points: 280
  "NAPE"una maana ulitaka kusena NO PLEASE?? ukatia slang??au unamaanisha nini??nijuze mkuu ila la Arumeru na pajua ila hili la NAPE sijui nikitu gani katika siasa za Tanzania!!!
   
 12. O

  Omr JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli Nape anawasumbua magwanda
   
 13. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,833
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Kumbuka chama chake cha mafisadi kilivyomzuia asikaje Igunga sababu ya uvuvuzela wake, nina imani tena watampiga marufuku asikanyage Arumeru, nakumbuka alikaidi amri Igunga akaenda eti kutoa pole kwa yule mtoto aliyekufa kwenye msafara wao masisiemu,alipewa karipio kali safari hii akikahidi amri aje Arumeru watamkashoo.
   
 14. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kabla ya Kugombea Arumeru lazima Ajiuzulu Ukatibu Uenezi ndani ya Central Comittee ya CCM first... then akiwa hana cheo chochote ndani ya nchi then aende Arumeru... hana Gari, Nyumba, Mshahara ...

  Wewe...atakuwa mweusi pepepe... na hivi hana fisadi wa kumsaidia utasikia baada ya kushindwa uchaguzi anaishi kwa Mama yake...

  JAMANI MSIMUONDOLEE ULAJI WOTE
   
 15. only83

  only83 JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kumpambanisha Joshua Nasari na Nape ni sawa na kumfananisha Prof Baregu na Dr Bana au Man U na Villa Squad...Yaani ni Joshua Nasari kampiga gepu kubwa sana Nape kwenye uwezo wa kufikiri na kutenda mambo.
   
 16. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Nape agombee ubunge,Mwanaasha tumpe viti maalum.
   
 17. m

  mopaomokonzi JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mnafikiri kutumia kichwa au kamasi. Acheni kuwaps watu sifa wasizostahili. Hata kama mnamchukia nape bado huwezi kusema analinganishwa na nasari. Who is nasari. Mnamkuza ngojen mtaona. Mnamchukia nape kwa ajili ya mimba.
   
 18. m

  mopaomokonzi JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mkimchukia haimfanyi awe wa aina hiyo. Hivi jf ni great thinkers au mkusanyiko wa wajinga.? Et wote mnashabikiana nasari nasari? Ameifanyia nini nchi? Angalu nape tunajua msimamo wake. Nape kumlinganisha na kale kachokora ni dua la kuku
   
 19. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Jahazi limepoteza mwelekeo kitambo!

  Hila na njama yao tunayo kitambo sana mifukoni.
  Hata angegombea jk mwenyewe ataambulia nyimbo ya kuwapumbaza Watanzania ya yule kilaza wa tot!
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huyu anajua kujenga hoja gani mkuu? mbona unampa sifa ambazo hazimfai? nadhani kama ccm wakimsimamisha yeye na cdm wakasimamisha sokwe ninauhakika sokwe atamshinda kwa kura nyingi sana maana ccm imechokwa kila kona ya Tz
   
Loading...