Muktadha wa Chadema Lushoto

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Kama kunakosa kubwa la chadema la kupoteza wanachama lushoto ni hili la mh.ZITO kutofika wilayani hapo.KWA NINI? 1.mwaka 2010 mgombea urais ndg WPS ALISHINDWA KUFIKA HUKU AKISUBIRIWA ZAIDI YA SAA 8 2.wananchi na wanazi wa chadema huzomewa sana kutokana na uongozi wa chadema kutofika kwa ahadi. JE UNAFIKIRI KWA HAYA MAWILI ENDAPO CDM ITAKOSA IMANI KWA UMMA WA KURA ZAIDI 250,000 YA LUSHOTO NANI ALAUMIWE? Je sauti ya umma haisikilizwi? KAZI KWENU VIONGOZI.
 
Nadhani uongozi utakupata watalifanyia kazi,na nashukuru baadhi ya viongozi ni wanafamilia hapa JF...
 
Inawezekana mimi si Great thinker, sijakupata kabisa!! Kosa la Slaa linafikaje kwa Zitto?
 
Inawezekana mimi si Great thinker, sijakupata kabisa!! Kosa la Slaa linafikaje kwa Zitto?

kama nimeelewa vema, Zitto alitakiwa kuwa Lushoto leo na hajafika kama ilivyoahidiwa, ni sawa na Dr slaa alivyoshindwa kufika wakati wa kampeni mwaka 2010 kama ilivyokuw aimepangwa
 
Inawezekana mimi si Great thinker, sijakupata kabisa!! Kosa la Slaa linafikaje kwa Zitto?

Kweli you are not! Kosa si la Zito wa Slaa,kosa ni uongozi unao ratiba za viongozi wakuu,na hli nilitoa rai kwamba 'au sababu haipo kulia?'NADHANI UMENIELIWA kidogo,endelea na hoja
 
Nadhani uongozi utakupata watalifanyia kazi,na nashukuru baadhi ya viongozi ni wanafamilia hapa JF...
Asante sana Only83 kwani umenielewa,CDM WAKUMBUKE NYERERE ALIWAHI KUITWA NA MWANANCHI MMOJA AKAFUNGA SAFARI KUMWITIKIA KWA AJILI YA TANU.KWA TANGA UKIPATA Lushoto jimbo moja CCM KWISHNEY
 
Kama kunakosa kubwa la chadema la kupoteza wanachama lushoto ni hili la mh.ZITO kutofika wilayani hapo.KWA NINI? 1.mwaka 2010 mgombea urais ndg WPS ALISHINDWA KUFIKA HUKU AKISUBIRIWA ZAIDI YA SAA 8 2.wananchi na wanazi wa chadema huzomewa sana kutokana na uongozi wa chadema kutofika kwa ahadi. JE UNAFIKIRI KWA HAYA MAWILI ENDAPO CDM ITAKOSA IMANI KWA UMMA WA KURA ZAIDI 250,000 YA LUSHOTO NANI ALAUMIWE? Je sauti ya umma haisikilizwi? KAZI KWENU VIONGOZI.

Mwenyekiti wa Bavicha Taifa bw. John Heche ameanza ziara mkoani Tanga leo, bila shaka atafika na Lushoto kwakuwa anatarajia kutembelea na kufanya mikutano katika wilaya zote za mkoa wa Tanga.
Nitamuuliza ratiba yake kufika Lushoto ni lini na nitakufahamisa hapa hapa!
 
Lakini pia inawezekana kwa kuwa Lushoto/Bumbuli kuna mpiganaji mahiri (Mh. Januari Makamba) anayetetea maslahi ya umma uongozi wa CHADEMA umeamua kutoharakisha kwenda huko kwa sasa may be? Asiye kinyume chetu yu upande wetu hata kama anaambatana na shetani!
 
naamini viongozi watafanyia kazi suala husika kwa kuwa mh.zito atakuwa tanga na viwanja vyake mpaka tar24feb naamini hatopuuzia kwa kuwa lengo ni kufikisha ujumbe mahususi kwa wanatanga basi viongozi hawatofanya makosa zaidi,sasa ni tanga mpaka waelewe cdm ni nini.umefanya poa mkuu kukumbusha!
 
Lakini pia inawezekana kwa kuwa Lushoto/Bumbuli kuna mpiganaji mahiri (Mh. Januari Makamba) anayetetea maslahi ya umma uongozi wa CHADEMA umeamua kutoharakisha kwenda huko kwa sasa may be? Asiye kinyume chetu yu upande wetu hata kama anaambatana na shetani!
Wewe acha kudanganya shetani ni wewe,hujui kwamba Zito anatakiwa kwa udi na uvumba lushoto? Kunabahati akapewa jina la 'SHEBUGHE' KWA WASAMBAA WANAJUA MAANA YAKE.PIA CDM HAKINA JEMBE NDANI YA CCM[UKITAKA KUUA NYANI...............]
 
kama nimeelewa vema, Zitto alitakiwa kuwa Lushoto leo na hajafika kama ilivyoahidiwa, ni sawa na Dr slaa alivyoshindwa kufika wakati wa kampeni mwaka 2010 kama ilivyokuw aimepangwa

Labda atakuwa na sababu za kutofika tumsikilize atajitetea je kabla ya kumhukumu
 
Labda atakuwa na sababu za kutofika tumsikilize atajitetea je kabla ya kumhukumu
Watu wengine bwana,kosa si la Zito,kwa ajitetee? Labda ungesema Zito atumie utashi wake wa ama afike au la ili wanalushoto wateie wenye!
 
Dr Slaa, kumbuka, matawi na mashina kukiwa imara ushindi njenje. Lushoto, Bumbuli, Mlalo kote huko ni kwetu, wananchi wanahitaji kuona viongozi wa juu, wakitembelea ili kupelekea uhai wa Cdm. 'Dr take care on this'
 
Nimesubiri kwa hamu kuona Mh Zitto akijibu hoja hapa maana lengo ni kukuza mageuzi nchi nzima, sasa kama yeye jembe letu akishindwa kuhudhuria mahali alipotakiwa kufika na wananchi walisubiri basi inapaswa itolewe taarifa kwa wananchi wa Lushoto (labda tayari) na pia hapa jamvini ambako kuna watu wa kutoka sehemu mbalimbali za nchi yetu wanaofuatilia kwa karibu maendeleo ya mageuzi Tanzania
 
Mlituambia hapa juzi kuwa Tanga ni moja ya mikoa isiyo na mwamko wa kisiasa kwa hiyo ZITTO amedhalau na kuona kwamba hakuna haja ya kwenda!
 
Dr Slaa, kumbuka, matawi na mashina kukiwa imara ushindi njenje. Lushoto, Bumbuli, Mlalo kote huko ni kwetu, wananchi wanahitaji kuona viongozi wa juu, wakitembelea ili kupelekea uhai wa Cdm. 'Dr take care on this'

Huu ni mwendelezo wa siasa za majimbo na ukanda....
 
Lushoto ingekuwa ni Arusha hata picha zingeshawekwa..... mara kamanda LEMA mara MBOWE mara DR wa ukweli! lakini kwa kuwa ni Lushoto watu wameshinda wakisubiri bila mafanikio. Haya bana 2015 watawapigia tu hata kama hawawajui.
 
Back
Top Bottom