Hivi huyu mwanachama wa CUF Jussa ni mzima kiakili?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Taarifa toka Zanzibar ni kwamba Chama cha Wananachi (CUF), kilishindwa kulinyakua jimbo la Uzini kutokana na kuwa na wakristo wengi na watu wa bara. Haya ni madai ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu. Je hii ina maana kuwa huyu ********* mwenzake aliyechaguliwa ni mtu wa bara na mkristo?
Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.
 
Kama waZanzibari watashindwa kumrudisha kwao watuombe msaada tu. Huyo juha Jussa aulize kilichompata mhindi mwenziwe mpinga Tanganyika aitwaye Wolfgang Dourado
 
CUF ni Chama mufilisi wanatakiwa wakae chini waangalie walipokosea wawe na utashi wa kufanya mapinduzi makubwa ili kirudi kama enzi zile za Ngangari na Ngungu.
Seif na wenzake waangalie maslahi ya kichama zaidi kuliko maslahi binafsi.
 
Jamaa anawatoa jasho ndio mnaaza kuleta lugha ya kibaguzi.
 
cuf inakufa hata hivyo ametufungua macho tuliokua tunasikia cuf ni chama cha kidini
CUF wao muhimu ni Zanzibar na ndio maana wanaleta kampeni za kidini, Au ulikua hujui kuwa Zenji ni ya waislamu?
 
CUF wao muhimu ni Zanzibar na ndio maana wanaleta kampeni za kidini, Au ulikua hujui kuwa Zenji ni ya waislamu?

Kwa hiyo Mkuu Omr, CUF nayo ni ya Waislamu kama unavyodai kuhusu Zenj kuwa ni ya Waislamu? Lol, safari ndefu tunayo!
 
Kama waZanzibari watashindwa kumrudisha kwao watuombe msaada tu. Huyo juha Jussa aulize kilichompata mhindi mwenziwe mpinga Tanganyika aitwaye Wolfgang Dourado

Yaani hapo Juha anatuambia kuwa CUF ni chama cha kiislamu na hakiwezi kushinda pasipo waislamu wengi. Ama kweli bado kamelewa na pesa za Rostam

Kwa maana hiyo CUF wasithubutu kuweka mgombea Arumeru Mashariki kwa kuwa pale ni BARA na WAKRISTO NI WENGI. Huenda ametoa hiyo kauli kwa lengo maalumu la kuingia mitini uchaguzi wa AM baada ya kupata vipigo vya aibu Igunga na Uzini. Ngojeni kesi ya HRM iishe muone atakavyokomba wanachama wenu na kuingia nao katika chama chake kipya cha CUF ACADEMIA
 
Sikutarajia kwa mwanasiasa kama Jussa kutoa kauli kama hii, hii inadhibitisha kuwa CUF ni chama cha kidini na kikabila, tuna takiwa tukiogope kama UKOMA, sikutegemea hili kabisa, KUMBE JUSSA ni MS***** Kiasi hiki?
wana JF tuipige vita CUF kama wote wana vision moja ambayo ni ya kidini
 
Kwa hiyo Mkuu Omr, CUF nayo ni ya Waislamu kama unavyodai kuhusu Zenj kuwa ni ya Waislamu? Lol, safari ndefu tunayo!

CUF ni ya Waislamu na CHADEMA ni ya wakristo na hii ndio sababu itakayo ifanya CCM itawale milele.
 
Jamaa anawatoa jasho ndio mnaaza kuleta lugha ya kibaguzi.

Katika wanasiasa Jussa nae yumo? Amtoe nani jasho huyo mropokaji tu? Yaani huwa hapimi madhara ya matamshi yake. Sasa hapo anataka kutuambia nini? Je ni kuthibitisha kuwa cuf ni chama cha kidini?
 
CUF ni ya Waislamu na CHADEMA ni ya wakristo na hii ndio sababu itakayo ifanya CCM itawale milele.

Acha uongo! Chadema ni ya watanzania usitake kulazimisha mambo ya udini hapa! Hivi bado tu hamjachoka kupotosha?
 
Back
Top Bottom