CCM kumecha!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kumecha!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by msnajo, Feb 18, 2012.

 1. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Wakuu naomba kuwasilisha. Hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa ndani ya chama Tawala, hususani katiba yao. Kimsingi sina haja ya kupinga haya mabadiliko, laa kujua lengo la haya mabadiliko. Ni kwa ajili ya kundi fulani la watu ndani ya chama au kwa mustakabali mzima wa Chama? Sijaelewa vizuri hili swala, manake kuna baadhi ya wajumbe tunaambiwa watang'olewa kwenye ujumbe wa NEC ya CCM kutokana na kua na kazi mbili za kudumu yaani ubunge na ujumbe wa NEC. Wakati huo huo wapo wengine watabaki wajumbe wa NEC na vile vile ni wabunge. Hapa hii imekaaje Wadau? Is this the beginning of the end? Kwa yeyote mwenye uelewa wa hili swala, tafadhali naomba tueleweshane.
   
 2. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni CCM!
   
 3. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  I think it is the end of the end.
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  CCM wapo fiti mpaka jehanamu. ofcource they are very smart
   
 5. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Ccm kumecha ni lugha gani?
   
 6. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wanajipanga kwa ajili ya 2015 and beyond,
  Kumecha ulimaanisha kumekucha ama?
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Maiti siku zote lake kaburi akitaka kukwepa amtafute mamba ammeze.

  Ccm tulioianzisha sii hii wala haikuwa hivi.

  Wazazi tumeshakabidhi mochware.
   
 8. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  True that!
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Lengo la haya mabadiliko ni kumng'oa white hair na genge lake...na ndio maana wanataka wabunge wasiwe wajumbe wa NEC.Lakini inaonekana baadhi ya wajumbe wa kambi ya white hair wamegindua janja ya m/kiti wa chama na kambi yake,kwa hiyo waliipinga sana wakati m/kiti alipoongea na wabunge pale Dom.Mwisho wa huu mvutano m/kiti aliwahakikishia kuwa hakuna mbunge atakayeng'olewa kutoka NEC na wao wakawa na shaka may be anawazuga tu.
   
 10. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanafanya ile ya nyani walewale kwenye msitu mpya.
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Nap anajua mustakabalii!!ndo mpika jungu!!
   
 12. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Heading yako mkuu ina Mushikeri kidogo
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Yes well said na sasa ndo maandalizi ya maziko yanafanywa
   
 14. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hata mimi simuelewi yaani utadhani kuna breaking news kumbe uharo mtupu.
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hakimama sijamsoma hata Mimi!
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Aisee! haieleweki kwa hiyo nashindwa kuchangia kwa sana..... hata hivyo mabadiliko siku zote huwa ni ya kuleta tija
   
 17. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nashangaa ccm kusema Mkapa, Karume ni wazee wapumzike ila Msekwa ni kijana aendelee kuongoza. hah hah hah ha magamba bwana

   
 18. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 802
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Tayari ushasema ya kwamba wewe ni mjumbe wa NEC na kama unavyojua humu weng ni CDM.Kwahyo wewe ndio unapaswa kutujibu sisi maswali yote yanayohusu CCM kwahiyo basi swali lako haliwezi kujibiwa hapa,labda ulipeleke MICHUZI,huku wajumbe wa NEC wapo wengi sana.
   
 19. t

  tume huru Member

  #19
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  it is the end of beginning!!
   
 20. chitulanghov

  chitulanghov Member

  #20
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  MTI UKITOLEWA GAMBA LAZIMA UKAUKE! Handsome na white crested maasai sijui vita yao itaishaje! au ni maigizo tu?
   
Loading...