I miss Lyatonga Mrema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I miss Lyatonga Mrema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EasyFit, Feb 22, 2012.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ni muda mrefu sijamsikia mwanasiasa huyu machachari,

  Anahitajika sana hasa wakati huu wa kampeni Arumeru, sijui safari hii ataendeleza fadhila au alishamaliza kulipa deni. Maana CCM B wamejitoa ambao walikuwa supporter wakubwa wa chama chetu sasa tegemeo limebaki kwa TLP au NCCR manunuzi.
   
 2. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kisukari Akimruusu kufanya iyo kazi kwa sasa, Jua limesha zama pale.:lol:
   
 3. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Arumeru Mashariki ni vyama viwili tu waliozoea kubebwa kwa kutegemea kura za wapinzani kugawanyika wameula wa chuya.
   
 4. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Ni mtu wa kwanza kutuambia kuwa nchi hii inatafunwa, lakini tulimkejeli na kumpuuza na kumuona mjinga. Sasa ukweli uko wazi.
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  It is true vile vile ni mtu wa kwanza kutusaliti kwa aina yake, nakumbuka miaka ya 90 pale chuo kikuu tulisukuma sana gari lake hatukujua tumekuja realize kuwa alikuwa anatusanifu baadae sana.
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,696
  Trophy Points: 280
  kijah hiro jah hiro sio?
   
 7. M

  MAMC Senior Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  we Surely miss him! Huyu jamaa alikuwa mwanasiasa mtendaji!ushahidi wake uko hadharani - toka atoke pale mambo ya ndani, kila anayekuja kuanzia Nyanda hadi wa sasa viatu vinawapywaya!!
  Kwa sasa ladba Magufuli ndo anafanana naye, wengine woote - Mwanri,Pinda,Mkulu,etc ni longo longoo tuu!
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,418
  Likes Received: 81,463
  Trophy Points: 280
  Mrema Watanzania tulimpenda sana hata ikafikia mahali akiingia kwenye gari Watanzania walikuwa hawataki gari iwashwe ili waisukume kumpeleka huko aendako, lakini akabadilika badala ya kuendelea kuwa mtetezi wa maslahi ya Watanzania na Tanzania akawa mtetezi mzuri wa mafisadi. Sasa hivi baadhi wakikutana naye hata kumpa mkono wanaweza kukataa, umaarufu mkubwa aliokuwa nao katika sehemu kubwa nchi hivi sasa umepotea.
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  amenyimwa mafao yake ya unaibu waziri mkuu ndo mana kasusa kuongea chochote
   
 10. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ebu mwacheni mzee wa kilalacha ale mafao yake alopewa na TISS na CCM baada ya kumaliza kazi alotumwa kuvuruga vuguvugu la mageuzi kwa wakati ule. Sasa kafunga ndoa rasmi na wafadhili wake CCM. Mlisema hajasoma, JK kamfanyia mchongo wote wakatumiwa bahasha za "DR" ili Slaa asiwabeze. Mambo hayo!!!
   
 11. M

  MYISANZU Senior Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM walijiibia kura zao ili kufanikisha ushindi wa Mrema Vunjo
   
 12. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  Nilimwona pale Karimjee kwenye msiba wa Regia dah ile afya wanawane sio second hand ni fourth hand
   
 13. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tumuombee kwa mwenyezi Mungu amrejeshee afya yake
   
 14. G

  Gambaz Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah kwann 2muombee kwa Mungu?,achen afe tu.
   
 15. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mrema sasa ni ccm c
   
 16. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,555
  Likes Received: 4,682
  Trophy Points: 280
  Kwani amefufuka?
   
 17. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Msiwe na hofu Mh. Mrema yupo ila afya yake si nzuri sana. Anza kutembelea Arumeru Mashariki kuanzia sasa maana atakuwa huko anafanya maandalizi ya kampeni na baadae kampeni zenyewe. Chama chake kimemsimamisha mgombea anayeitwa "Shaban Kirita"
   
 18. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huku moshi tunamuita KIKULACHO au SHAMUKWALE. alikuwa akutumia sana izo nyimbo kwenye kampeni zake.
   
 19. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Haya bwana! Msalimieni SHAMUKWALE au KIKULACHO.
   
Loading...