Chadema isisimamishe mgombea Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema isisimamishe mgombea Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by dala dala, Feb 18, 2012.

 1. d

  dala dala Senior Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Chaguzi ndogo mfano ule wa Igunga, Vyama vya CCM, CHADEMA na CUF vilitumia pesa nyingi sana kwa ajili ya Kampeni.

  Nikiwa mwanachama na mkereketwa wa UKWELI ya CHADEMA nashauri tusisimamishe mgombea ARUMERU badala yake fedha zilizotakiwa zitumike kwenye kampeni zitumike kueneza itikadi na mtandao wa chama nchini. Viundwe vikosi kasi 25 kwenda kila mkoa angalau kwa mwezi mzima kwa ajili ya kazi hii. Naamini tutavuna wanachama wengi, na kufungua matawi mengi sana kwa njia hii. Tunao Makamanda kibao tu wenye uwezo wa kufanya kazi hii, mfano, Mhe. Mbowe, Dr. Slaa, Mhe. Zitto, Tundu......Mwakajila, Mtela, Heche, Mdee, na wengine wengi tu.

  Ni ukosefu wa umakini kutumia milioni 500 kwa Jimbo moja wakati kiasi kama hicho kinaweza kutumika kukijenga chama takribani katika kila Jimbo nchini. Swali la kujiuliza ni hili hapa, Tutabadilisha kitu gani Bungeni ikiwa tutashinda ARUMERU Mashariki?? Still the vast majority will remain to CCM. I have a point try to think critically
  . CDM, Kimbilio Letu, wengine ni Wababaishaji Tu!
   
 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,942
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Mbona siku hizi washauri wa Chadema wanazidi kuwa wengi? kulikoni!!!!
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Umewashauri CUF wamejitoa nina mashaka kama CDM watakubali. Kwanza karudishe kadi ya chama chako na kuchukua kadi ya CDM ili wajenge imani na wewe. Ushauri wako umezingirwa na hofu ya kuanguka kwa chama chako. Siasa ya vyama vingi ipo kikatiba iweje unavunja katiba kwa kupunguza ushindani wa vyama? Kwenye mpira hiyo ni rushwa nadhani hata kwenye siasa ni rushwa pia kutumia ghiriba na ulaghai kuhamasisha vyama kujitoa kwenye uchaguzi.
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wametumwa na magamba waje na ushauri hasi
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mamluki!!!!!!!!! wanajenga mazingira ya kuongezewa posho ya jukumu walilopewa.
   
 6. n

  nketi JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ushauri mwingine bana.........na sawa na kumwambia mmarekani aukane uraia wake ili awe mtanzania kitu ambacho hakiwezekani............kwani ccm na ccm-b wanaongeza nini wakipata arumeru?
  Asante kwa ushauri wako
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ha ha inaonyesha huko ccm wana hati hati ya kulikosa jimbo ndo maana wanakuwa na tahadhari potofu juu ya vyama vingine
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Haya ni matokeo ya kamasi kujaa kichwani badala ya ubongo!
   
 9. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ANYWAY kwa vile ni ushauri
   
 10. d

  dala dala Senior Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  =Suala la uanachama wangu CDM halina kificho,kama mwanachama nina haki ya kutoa ushauri, pia nimesema think critically unaweza kuona point, usiwe mwepesi kupinga mawazo hadimu. Tatizo lako mtu akiwa na wazo mbadala wajua ni CCM, BADILIKA KIMTAZAMO wewe
   
 11. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 931
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni CCM!
   
 12. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  inawezekana ukawa mwanachama wa chadema lakini una roho ya kimagamba? mbona usiwashauri ccm walio na wabunge wengi wasiweke mgombea? Hujaona impact ya chadema bungeni? Au umetumwa na nepi?

   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,956
  Likes Received: 367
  Trophy Points: 180
  kadi yako namba ngapi? japo mimi siyo chadema siwezi kutoa ushauri wa kijinga kama huo.
   
 14. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,942
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Kwanini usiwashauri CCM kujitoa kwa vile hata wakishinda still watabaki na majority bungeni.
   
 15. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,610
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Inawezekana ni ushauri mzuri lakini umetazama "financial risks and returns only", you have not looked at the "political implications". Labda nikuulize swali dogo ambalo wewe naamini hukujiuliza, CCM watasemaje baada ya CHADEMA kujitoa???
   
 16. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #16
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Ushauri wako ni sawa na hii:
  error.png
   
 17. Y

  Yarrot Member

  #17
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Wewe uliyetoa hili wazo utakuwa umetumwa! CUF tu ndio mnawaweza kwa sababu mmeshawaoa....
   
 18. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Huu ushauri unawafaa sana ccm kwani katika ngome yao igunga walitumia tsh 200000 kwa kila kura sasa hapa kwa mamongoo watakoma kuringa.

  Kura moja tunauza 1m wataweza?

  Huku hatuli pilau chali yangu,huku ni cha arusha,kiroba na nyama coma kwa mromboo.
   
 19. msadapadasi

  msadapadasi JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  huu ni u-zuzu... ningekuona kama una busara endapo ungewashauri CCM wajitoe kwa sababu ndicho chama ambacho hutumia pesa nyingi zaidi kwenye kampeni zao... kwa ushauri huo dogo umepotea njia, kajipange upya na uwaambie kuwa dili lao tumeligundua...
   
 20. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #20
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,026
  Likes Received: 9,392
  Trophy Points: 280
  Kuna kitu haujamalizia ilitakiwa na useme hao wanachama wa chadema waliowengi kuliko wa vyama vingine wapigie kura chama gani?
  Then hapo labda ndio nitjua standing point yako.
   
Loading...