Report gives Kikwete high marks on law review | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Report gives Kikwete high marks on law review

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMT, Feb 18, 2012.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Tanzania's President Jakaya Kikwete has received high praise for the way he has handled the issue of the new constitution, with analysts reporting that it has helped restore faith in the ruling CCM. According to the Economic Intelligence Unit (EIU) January report for Tanzania, this places CCM in pole position to continue dominating the country's politics despite the threat posed by the opposition, especially Chadema.

  According to the report, there are chances that divisions in the party may grow, but they will not harm its chances of winning the 2015 presidential election. There is some consolation for the opposition too, especially Chadema. The report says it will secure greater representation despite CCM's dominance.

  EIU, which has been a prime source of information on economic and political trends worldwide for 60 years, reports that Chadema, which has been trying to establish a more high-profile role since the 2010 General Election, will dominate the headlines every now and then. So will the discontent with domestic economic conditions. But both factors will not present a major threat to the overall political stability of the country "unless they are badly mismanaged by the dominant CCM".

  It adds that President Kikwete's willingness to spearhead the constitution review process and restructure his party has given him and his party bonus points, especially among cynics. But the opposition's expectations of the new dispensation may be dashed, the report says, given the ruling party's fears that it could lose more ground should it allow this to happen.

  "The opposition's desire for a constitution according less power to the presidency and a more level playing field in elections is unlikely fully to be realised," reads the report, "but should see the 2015 election conducted under at least a slightly fairer constitution."
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Is this supposed to be good news?
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,812
  Trophy Points: 280
  Kikwete IMHO does not deserve high marks on anything, he is a big failure period.

  ~Kumchagua Kikwete katika uchaguzi huu ni janga kubwa la Taifa--Dr Slaa.
   
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Duh! Mkuu naona hutaki hata kuskia habari zake! :lol:
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,812
  Trophy Points: 280

  Yaani huyu jamaa angeamua kuvaa Ujemadari wake na kufanya kazi zake kwa kulinda maslahi ya Tanzania na Watanzania hasa ukitilia maanani kwamba Watanzania wengi walikuwa na imani naye kubwa sana basi angejipatia sifa kem kem ndani na nje ya nchi kwa utendaji wake mzuri na pia kulinda rasilimali za nchi. Ukiangalia ahadi zake alizozitoa wakati wa kampeni za 2005 kama "maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana" "Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya" "Nitaipitia tena mikataba ya uchimbaji wa madini yetu ili kuhakikisha nchi inafaidika na utajiri wetu." Ahaadi ambazo ameshindwa kuzitekeleza na hata kuzungumzia hataki kabisa.

  Ingekuwa amri yangu huyu hata asingestahili kugombea katika uchaguzi wa 2010, lakini bahati mbaya sina ubavu huo na wala sitakuja kuwa nao.
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kwenye katiba amejitahidi mkuu lets give it to him...
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,812
  Trophy Points: 280
  Mkuu MTM kama si CHADEMA kuleta mjadala wa Katiba, kamwe hili la katiba mpya halikuwemo kabisa kwenye "mipango yake" ya awamu yake ya pili. Baada ya kuona hoja ya katiba mpya iliyoanzishwa na CHADEMA inaungwa mkono na Watanzania wengi naye ndio akaona umuhimu wa kuivalia njuga. Sijui hili la katiba ataliongoza vipi. Je atakuwa tayari kuhakikisha kwamba katiba mpya inaungwa mkono na Watanzania wote au atataka katiba mpya itakayoungwa mkono na wanachama wa magamba?

  Anaweza kujizolea sifa nyingi kwa jinsi atakavyosimamia zoezi hili la kupata katiba mpya bila kuegemea kwenye chama chake.

   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kikwete kiboko yao. Hiyo kitu ingine si mchezo.

  Tunao faidi porojo za chadema ni sisi tunaoingia JF maana huwa tunaona utumbo wao, mara sijui kimara "kumelipuka", mara sijui "lema" kafanya nini.

  Shows how shallow you peoples are, you talk about peoples instead of ideas. Tazama mavitu ya JMK hayo. Mara ohh Kikwete anasafiri sana, mara oohhh, sijui nini.

  Mnataka kushindana na mijitu toka kuzaliwa inazaliwa kwenye uongozi, maisha yao yote ni viongozi, wakati hamjui hata kiatu kipi uvae wakati upi. Shame.

  Magwanda leo humu kuna habari mbili za Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambazo hamna hamu nazo lakini ndio zimo, mnalo?
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Now this is what i call anti zipompa-pompa in kitchen party.... or bi chau to say the least!!
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Agreed but if he didnt corroborate, then we wouldnt have been here... nevertheless, he is my biggest disappointment todate, worse than hata diwani wangu
   
 11. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,964
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Mkuu, yawezekana amebanwa mbavu tu akakosa pa kuchomokea.
   
 12. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  REDET @ work..
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Aiseee Kikwete huyu huyu AMA mwingine ? Wa Msoga is a failure
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Na ule udaku mnaoleta kila siku, ooh mara kasafiri, oooh mara vasco, oooh mara sijui nini. ule sio umbea.

  Wekeni vitu ambvyo hajafanya. hamuwezi..
   
 15. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  MTM
  It was not his idea. Na CCM ingepata 80% kwenye uchaguzi wa 2010 Kikwete asingetofautiana na wabunge wa CCM katika suala la katiba. Kwa hiyo credit mpeni kwa kuziba pua.
   
 16. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Zomba,
  Ningekuwa wewe ningemshabikia Kikwete kimya kimya. Hamna la maana alilolifanya katika miaka hii 7 sasa ya utawala wake. Katiba haikuwa kwenye reda yake kabisa. Kadandia ajenda ya wengine, na huu ukiwa ushahidi bayana kwamba CCM haina dira, haina vizhyen.
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Jamaa kasafiri
  JAMAA ANAPENDA SAFARI
  jamaa is a failure
  jamaa is incopetent
  jamaa hajiamini
  jamaa ni muongo
  jamaa hapendwi
  jamaa hana cha ku-offer
  jamaa hana sifa tuliyoitegemea

  TETEA UWEZAVYO, BUT JK IS NOT THE RIGHT LEADER FOR US KWA SASA

  no matter how i try to convince myself kutafuta positives, bado zinapelea, hata hiyo ya katiba nimeambiwa kwamba alidandia treni kwa mbele
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  very possible.... He has no friends, within his party and outside his party, even outside the political arena
   
 19. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Jamani tuwe wakweli, hivi ni kweli kwamba suala la mchakato wa katiba limerudisha imani ya wananchi kwa CCM kama ambavyo paragraph ya kwanza ya hiyo habari inasema?
   
 20. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Si yeye ni mabalozi ndio waliomshinikiza.

   
Loading...