Rais akivunja baraza la mawaziri, tunaomba umteue mh. Sita awe waziri wa mambo ya ndani

greenstar

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
390
53
Nimetafakari kwa kina kuwa Mh.SITA anaweza kulibadilisha JESHI LA POLISI likawa la VIWANGO na KASI ZAIDI kwa kuzingatia UTAWALA wa SHERIA badala ya NGUVU NYINGI ambazo zinaligharimu taifa na kupoteza nguvu kazi kwa mauaji ya kiholela.Tumechoka kuhujumiwa na JESHI LA POLISI kwa kukosa viongozi makini.Mh.SITA ukipata fursa hii itumie vizuri ili tuweze kutoka katika mateso na njama za ukatili ndani ya TAIFA letu.
 
nami nakubaliana na wewe juu ya Sita kuwa Waziri wa mabo ya ndani nafikiri na maandamano yataendelea kama kawa
 
Nadhani ataanza na shughuli ya mwakyembe kwanza.Na ndo hapo watakapo anza kuvurugana wao kwa wao
 
No!you are wrong,SITTA anatakiwa kua WAZIRI MKUU!!!!!awe kiungo mchezeshaji ili aingie kila kona ya uwanja kuilekebisha timu.
Bcoz kila wizara ndani ya tz imeoza.
 
Ingekua nchi yenye uzalendo na kujali maslahi na maendeleo ya wananchi wake kweli Sitta,angepewa post hizo,lakini kwa kua ni nchi ya visasi,basi tusahau ilo
 
No!you are wrong,SITTA anatakiwa kua WAZIRI MKUU!!!!!awe kiungo mchezeshaji ili aingie kila kona ya uwanja kuilekebisha timu.
Bcoz kila wizara ndani ya tz imeoza.

Sure....lakini tunataka ajikite zaidi kwenye wizara ya mambo ya ndani ambako kuna uozo wa kupindukia.Naamini akijakufanikiwa kuwa KIONGOZI wa NCHI(RAIS au PM) atakuwa na kazi nyepesi ya kutatua kero za WANANCHI.Kwangu Mh.SITA ni Kiongozi ambaye anagusa maslahi ya TAIFA kwa MOYO wa DHATI tofauti na wengine ambao ni waoga kusimamia kile anachoamini kwa hofu ya kifo.Kitu cha kwanza ni kumpiga chini DCI manumba na wenzake auende safu MPYAAAAAAAAAAAAAAAAAA.

Akiwa Waziri Mkuu kwa sasa watamfanyia hujuma wana mtandao!!!!!!!!!!kwa sasa wacha akajenge misingi ya UTAWALA BORA kwanza.
 
Lakini sasa hilo la kupewa nafasi hizo tunazopendekeza ni gumu kushinda hata taifa stars kuchukua ubingwa wa Dunia(world Cup)

.
 
Back
Top Bottom