Silinde katibu mpya wa wabunge wa CHADEMA

Silinde katibu mpya wa wabunge wa CHADEMA

Serayamajimbo

Senior Member
Joined
Apr 15, 2009
Posts
191
Reaction score
40
Wadau nimeinasa hii habari kwamba Silinde sasa ndiye katibu mpya wa wabunge wa CHADEMA, hii nimeipata kutoka: http://www.facebook.com/pages/John-Mnyika/113913842009362?ref=ts&sk=wall#!/groups/148790445137337/


John: Jj I have realised according to standing rules u guys are very powerful na mnaweza kufanya mengi! Hebu jipangeni! Someni kanuni vizuri na mzitumie ipasavyo hasa kupata mwanya wa kuwabana viongozi wa serikali ambao ni wavivu! Najua mmojammoj...a mmejipanga but bunge lina wanachadema zaidi ya 40. Organised voice ya wabunge 40 waliosoma na kujipanga ni sawa na sauti 300 ya wazee wa usingizi na posho kubwa! Tumia nafasi yako kama katibu wa wabunge kuweka hizi strategies!


Mnyika: Seka, nakubaliana nawe. nitaendelea kumshauri katibu mpya wa wabunge wa CHADEMA David Silinde na viongozi wakuu wa kambi ya upinzani. Nilishaanza, tutaendelea
 
Hongera Silinde,naona Mnyika ameachia ngaz kutokana na majukumu mengi katika chama,je ataweza viatu vya J.Mnyika
 
Ni vema na haki kwa habari hii,mashambulizi ya ardhini,angani na mafichoni yaendelee mpaka vijijini.Delegation of power inayofanywa na CDM ni jambo mwafaka katika political real life situation za TZ.SILINDE BE GOOD MIDDLE!
 
hongera kamanda David s,tunaiman nawe na tunataraji hutotuangusha. Mh JJ mnyika nawe umetuangusha kahabari haka mpaka wadau wakaotee fb nawe ni msemaji+member hapa kungekuwa nautambusho formal nadhan ingeongeze sifa kwa chama
 
vijana tunategemea mtatupa mabadiliko tunayohitaji. The change we need.
 
Hongera zenu kwa ukomavu wa kisiasa mlioanza kuuonyesha hasa kwa maamuzi yenu katika suala zima la mchakato wa katiba.
 
vijana tunategemea mtatupa mabadiliko tunayohitaji. The change we need.

Hayo yote yatafanikiwa kwa kuendesha siasa zenye tija kwa jamaa ya watanzania na si migomo wala kubishana kusiko na sababu.
 
Good move CDM. Lakini hapa Mnyika umeniangusha, kwa nini usingetoa hii taarifa rasmi (au hii haituhusu ?) Anyway, nimependa mmeliona hilo na kuamuua kugawana majukumu. Haikuwa na mantiki kuwanyooshea CCM vidole kuhusiana na kumrundikia mtu mmoja cheo zaidi ya kimoja wakati wengine wenye uwezo wakiwepo.

Sasa Silinde nawe onyesha uwezo
 
Anafaa sana.Wako wapi wale waliosema Slaa anamrundikia vyeo Mnyika kwa upendeleo?
 
Back
Top Bottom