Chaguzi ndogo za madiwani arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chaguzi ndogo za madiwani arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Najijua, Feb 23, 2012.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wadau mwenye taarifa sahihi atujuze vizuri ni lini Chaguzi ndogo za Madiwani Arusha zitafanyika? Mbona Igunga na Arumeru zimeshaitishwa kule wanasubiri nini? mahakama si ilishatoa hukumu
   
 2. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yawezekana ikafanyika sambamba chaguzi za Arumeru ikiwa hivyo itakuwa poa
   
 3. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Bado kuna kesi mahakama kuu iliyofunguliwa na waliokuwa madiwani wa CHADEMA,hukumu ya hiyo kesi ni Machi 28,mwaka huu.
   
 4. M

  MYISANZU Senior Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Subiri taratibu za kimahakama zikamilike and then uamuzi utolewe
   
Loading...