Jusa aiua Cuf Uzini kwa Ushirika wake na Raza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jusa aiua Cuf Uzini kwa Ushirika wake na Raza

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by hasan124, Feb 17, 2012.

 1. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inasemekana Ushirika wa Ismail Jusa Katibu Mkuu Msaidizi CUF Zanzibar na Mohamed Raza mshindi wa uchaguzi wa Uwakilishi JIMBO la Uzini Zanzibar ulikua moja ya sababu za Cuf kugalagazwa vibaya katika uchaguzi huo, mbali na udhaifu ulioonyeshwa na Uongozi wa chama katika siku za karibuni.
  Nyepesi nyepesi za ndani zinadai kwamba Raza ambaye Ni Rais wa Jumuiya ya Jamatini (waShia) Zanzibar:A S embarassed: Ambapo Jusa Ni Mjumbe wa Jumuiya hiyo hiyo, hivyo kwa Jusa kwenda kinyume na Rais wake ambaye kiimani Ni wamoja, ingekua Ni kosa kubwa sana na ingepelekea KUTENGWA na Wanajumuiya wenzake.
  Kwa Taratibu za Jumuiya hiyo, Huwa wanakutana kila jioni pamoja na kusali pia hutumia muda huo kupanga mikakati ya kuboresha Umoja wao na kuhakikisha wanasaidiana kwa kila hali katika maisha ya kawaida. Hivyo kuteuliwa kwa Raza imekuwa Ni fursa nyingine kwa kuimarisha Jumuiya Yao kwa kuweza kuingiza muwakilishi madarakani.
  Hivyo basi, kwa CUF kushika namba 3 Uzini, haikuwa bahati Mbaya na kwa kutumia propaganda za kisiasa ndio akaja na hili la Ukristo na Ubara pale Uzini kujificha, ilhali anajua fika imani yake ikichagizwa na ile DHAMBI ya Ubaguzi Inayoendelea kumtafuna (Sisi Wazanzibar wao Watanganyika) ndio vilivyomsukuma kusaliti chama chake. AMA kweli "kikulacho kinguoni mwako"
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kajipange upya..upitie malipo yako pia kwa HR usisahau..
   
 3. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Jussa ni 'mwanasharia' aliyebobea........
   
 4. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo waTZ mkielezwa kweli mnang'aka, unadhani Jusa yeye Ni chizi akamsaidie Yule mama mliye msimamisha ilhali Rais wake waKIROHO analilia nafasi hiyo hiyo? Unajua misaada wanayopeana kule msikitini kwao?! CUF mjue sasa mna kiongozi mbinafsi anayetizama maslahi yake pekee, chama baadae....kikulacho........!!
   
 5. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na ndio anayotumia hiyo hiyo Sheria "KUWANYONGEA"...vp usharika wake na Rostam?! Unadhani umekwisha kisa Rostam hayuko nchini?!
   
 6. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mi macho tu
   
 7. s

  sisi agent Member

  #7
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwambie jusa kwanza aoe kisha ndio aje kuongea kwenye watu.
   
 8. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  HAMAD RASHID a.k.a Hasan124 a.k.a sisi agent unaendelea kujidhalilisha! Wewe si umesgatoka CUF na wafuasi wako? Bora uimarishe ADP kama vp kampokee mwenyekiti wa CCM Kikwete leo amesafiri!
   
 9. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nashukuru sana kwa kuniweka level ya MHE. HAMAD Rashid, kwangu yeye Ni role model. Msimamia haki hivyo Ni fahari kunipa hiyo a.k.a. Na uozo sitoacha kuusema, vp yakhe nimegonga ikulu nini? Kwani si Ni kweli hawa wahishimiwa Ni wamoja kiimani? Sasa unadhani angemtilia maanani mgombea wa CUF
   
 10. T

  Topical JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nafikiri utagombea uzini 2015 ok..kupitia ADC ya HR, jengeni chama chenu achana na CUF na mambo yake.
   
 11. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Cuf ishajifilia hivyo Sina sababu ya kuizungumza hapa, nimewaletea topic hii inayomhusu Jusa kuwajuza tu Ni namna gani anawaulia chama chenu. Mimi wa Bara siwezi kugombea Uwakilishi Zanzibar naamini unlit ambiwa Hilo.
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ok, kama CUF unahangaika nini na Jussa kama anaiua CUF yetu? chapa lapa...

  Kajenge chama chako kipya na HR..ok
   
 13. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo Jumuia inaitwa "Khoja Shia Shnashir Zanzibar"
   
 14. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Imekaa vizuri hii
   
 15. K

  Kivia JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  cuf ni chama imara hakiwezi kufa kwa ajili H/RASHD.cuf walishapitia misukosuko mingi na wakashida seuse huu mdogo. Wewe subiria tu.
   
 16. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Cuf Ni imara lakini walokuwa wanafanya huo uimara uwepo ndo hawa wanatoka hii Leo, few years back nilikuwa na imani Kama hii Yako kwa cuf ila soma alama za nyakati hali ya kisiasa imebadilika mno, watu washachoka kuburuzwa lakini kibaya Ni kwamba SULTANI bado hajabadilika kifikra....na ndio sababu ya Jahazi lake kuzama.
  H/Radhid anasimamia kile ambacho CUF wamekuwa wakikihubiri miaka yoote bila kukitekeleza kwa dhati kutoka mioyoni mwao ambacho "Ni HAKI SAWA KWA WOTE"
   
Loading...