Hili nalo lakuangalia upya, liko katika dunia ya wastaarabu.

Kizotaka

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
561
107
Jamani hili lilisha letwa humu ikaonekana kama ni kuingilia utu wa mtu binfsi. Lakini tunahitaji kujua raisi na familia yake hadharani, anawatoto wangapi kwa mfano, hili ni muhimu sana. mimi nakatwa kodi, NSSF mwisho watoto wa 4. Sasa kama kiongozi anazaidi wanahudumiwa na nani, manake naskia ni zaidi ya nane, hili halituumizi sisi wengine kwa namna yoyote, uzazi wa mpango vipi? si matumizi mabaya ya fedha za umma. Hapana hili liiangaliwe upya.
 
Back
Top Bottom