Mwenye kufahamu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye kufahamu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaga Michael, Feb 24, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Jamani ndg wanajamvi hili kwanini imekuwa ni ngumu sana kwa wananchi wa kawaida kuwa na mawasiliano ya viongozi wakuu wa serikali na hata kama kwa bahati mbaya ukiwa wanazo ukiwapigia hawapokei kwanini?? Nawaombeni kama kuna mtu atakuwa ana mawasiliano ya simu ya Mh. Freeman Mbowe plz tunaomba atuwekee hapa au kama mwenyewe Mh. Mbowe ataisoma hii topic atuwekee namba yake ya simu. Ahsante nawakilisha.
   
 2. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  kaka dunia siku hizi imechafuka watu wanahofia sana namba mpya katika simu zao hasa kwa viongozi wakubwa , nakushauri uwasiliane nao kupitia mtandao hata fb au uende ofisi ya chadema uliyokaribu nawe
   
 3. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sababu hao unaowaita viongozi wanatafuta utawala na sio kuongoza.
   
 4. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  huu ni mtazambo lakini
   
 5. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo wasiwasi ni kwa viongozi 2?
   
Loading...