Kama ulikuwa mpinga ccm ukikubaliana nao, uwanakumaliza!!

kitonsa

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
1,211
2,636
Kuna mifano hai ya watu au tahasisi zilizokuwa zinapingana ccm. Ccm kwa kutumia intelejinsia yao wakawamaliza polepole kwa kuingia makubaliano nao. Mfano cuf inakufa sababu ya mkataba wa serikari ya mseto, masumbuko lamwai , mrema, seif hamad, nccr mageuzi n.k wote kwishinei kwa kuungana na ccm. Hivyo chadema wawe wahaangalifu na makubaliano wanayohafikiana na ccm.
 
kwani kuna makubaliano gani kati ya chadema na ccm.hayo makubaliano ya ccm na cdm yanafanana vipi na makubaliano yaliyofanywa na wengine?
 
unajua watu au wananchi wakiwa wanategemea kitu fulani halafu hayo mategemeo yakawa tofauti basi imani huwa inapungua sana ndipo hicho kitu kinapotokea. sasa mtu ukishaungana na mkandamizaji hapo unategemea nini!?
 
Back
Top Bottom