ARUMERU: Kutokana na mambo kuwa magumu Green Guard waanza mazoezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ARUMERU: Kutokana na mambo kuwa magumu Green Guard waanza mazoezi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Crashwise, Feb 24, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ccm wameweka kambi ya kuwafundisha green guard eneo la Leganga barabara ya kwenda Dik dik kama unaenda dik dik mtaa wa pili kushoto huku Nchemba Mwigulu amekuwa akipita na kugawa hela lakini pia anawapa wananchi contact namba za simu za viongozi wa chadema wa kitaifa ili kuwahadaa wananchi kuwa yeye na Mbowe, Dr Slaa na n.k ni marafiki sana hivyo hakuna haja ya wananchi kuwakataa kuongea nao..

  pia ametoa mil 10 atakae fanikiwa kumdhamini mgombea wa CHADEMA huku akiwa amemdhamini wa chama kigine kitu ambacho kitapelekea kukatiwa rufaa na kuondolewa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea jimbo la Arumeru Mashariki....
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nawaonea huruma magamba kwani Arumeru hakuna misikiti wala hijab
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  CDM kuweni makini sana hasa kwenye ujaxaji wa fomu ya kuomba kuteuliwa
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  ccm wamejaa matatizo sana.....na safari huko arumeru watakoma...
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Asante Kwa taarifa Mkuu.

  Magamba watahangaika sana, na mbinu wanazotumia zimeshajulikana.
   
 6. M

  Mayuka Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huko hakuna Bakwata ambao huwa wanawatumiwa na CCM kuwahadaa waislam na kuonyesha kuwa CCM ni chama cha waislam na kinawapenda waislam,wakati waislam wamezudhurumiwa na CCM mali zao nyingi na kuwawekea chombo cha ulaghai cha kikafili Bakwata ili kiwahadae waislam ili washindwe kudai haki zao za msingi,sasa Arumeru hakuna hao Bakwata ambao huwa wanatumiwa na CCM.
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mbinu zao nyingi tunazipata kutoka kwa wananchi wenye mapenzi na CHADEMA hivyo basi ni wajibu wa kila mpenda mabadiliko kuelekeza nguvu Arumeru ili mwisho wa siku mshindi apatikane kwa haki....si kwa kuuana kama CCM walivyo fanya Igunga.
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  CCM ni zaidi ya shetani wana mbinu nyingi chafu hivyo basi chadema na wapenda haki tuoongeze nguvu, maarifa pamoja na maombi ili shetani ashindwe........
   
 9. F

  Froida JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Hivi Crashwise huko Arumeru mutakubali kweli kuuawa na hawa maga-mba,basi watatamba dunia nzima kwamba wao vidume tunataka hao muwafanye wasipumue,wanabaka haki kwa namna hiyo kwa sababu gani
   
 10. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lakini siasa za namna hii zinatupeleka wapi? CCM inayotumia rushwa kushinda chaguzi itaweza kweli kupambana na ufisadi!!! Watanzania tuchukueni hatua taifa linaangamia.
   
 11. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Watashindana lakini hawatashinda,watagawa pesa zao,but hawataambulia kitu!Arusha siyo Igunga wala tabora,Arumeru siyo uzini!Chadema will remain to be a firm political party in Arusha!waachen wafanye mazoezi yao,na watajua watu wa Arusha wako vp.
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Tunashukuru kwa taarifa , tutashirikiana panapobidi mpaka kieleweke! Sisi tuna Mungu kamanda!

  Nilibahatika kuwaona hao green guard kwenye msiba wa yule diwani wa sijui ungaltd, Msangi(RIP) yaani wamejichokea, wamevaa viatu vimepinda, havina hata kiwi, afya zao zinatia huruma! Hawana jipya kiukweli ni vijana waliochoshwa na maisha wakajipeleka CCM wakatumiwe na wala nchi, mie mwanzoni niliposikia green guard nikajua ni watu haswa kumbe vijitu havina mbele wala nyuma... Hawana jipya!
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni kweli unachosema mkuu! Wanajisumbua bure tu hawa magamba! Afu sijui wanafanyishwa mazoezi ya nini manake wako choka mbaya kabisa, wanatumika zaidi kipindi cha kampeni na kwenye misiba ya viongozi wa chama chao, huwa wanafanyishwa kazi za kudhalilisha sana kwa mwanaume mwenye akili timamu hawezi kukubali kuzifanya! Yaani wana maisha duni sana, sijui wanalishwaga nini mpaka hawazinduki! Kampeni ikimalizika wanabaki kwenye ofisi za kata kuganga njaa!
   
 14. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Naona wanajiandaa na vita hao,
  Ila kweli sasa itafika mwisho wasidhani watafanya waliozoea na sisi kukaa kimya.
   
 15. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  green guards vs watoto wa Sing'isi
   
 16. Nyamburi

  Nyamburi JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyo Mchemba sijui mchamba atatakiwa akakampeni na mbeya mjini 2015,kama hatujasikia mtu ame camerooniwa!i hate wezi wa rasilimali za nchi,i hate watu wanao wahadaa watu wasio na elimu kwa vijisenti ili wawapigie kura,i hate chama au watu wanaotumia wizi,nguvu au hata kuua ili waendelee kuhodhi madaraka ya nchi,i hate watu wenye uchafu mkubwa wa kiroho na wanatumia taasisi za dini kuficha dhambi zao na kujifanya ni watoa misaada wakubwa,i hate magamba,i hate huyo jamaha nchemba
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu FROIDA, CCM wana Jeshi, Mahakama, Pesa lakini CHADEMA ina MUNGU hakika patachimbika...
   
 18. N

  Noboka JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,144
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Kwanza jiandaeni na huyo Mwigulu na wake zenu mnakumbuka alichofanya Igunga kwa mke wa kada mwenzake? Hata siku moja nguvu ya umma haishindwi na propaganda, Arumeru kama mlishawahi kwenda kudai uhuru kivyenu je propaganda za kijinga hazitakuwa na nafasi kwenu, mshahara wa dhambi ni mauti Mwigulu yataja mkuta siku moja kama si yeye hata watoto wake anawaandalia laana
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Arusha atutakaa kimya hira zao wazifanye kwa ungalifu sana maana tukimuweka kwenye 18 mmoja wao atakuawa mfano ama akutwe akitumia mali za serikali kwenye kampeni ama aikitoa rushwa maana tuna jua TAKUKURU hawana msaada kwetu....
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Uzuri huwa nakula wake za makada wenzake hata hivyo tuko makini kuliko unavyo weza kudhania......hahaha
   
Loading...