Radhi ya Mwema. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radhi ya Mwema.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malova, Feb 24, 2012.

 1. M

  Malova JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Life is DIGITAL, either you die or you live. Sasa kusema samahani au naomba radhi wakati tumeshakufa kutasaidia nini? Haya mauaji ya Songea (na polisi) ni ya ngapi kutokea. Yalifanyika Nyamongo, Arusha, Mbeya na leo Songea. Ina maana sababu hamuijui mpaka leo? Huko kwingine alisema naomba radhi? RADHI YAKO HAISAIDII KWASABABU LIFE HAS BEEN MADE to 0 state from 1 (digitally).
   
 2. M

  Malova JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Radhi yake itatusaidia nini sis?
   
 3. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sirikali inaweweseka na CDM - kila yanapotokea maandamano au watu kudai haki yao kama ilivyotokea Mbeya basi kichwani kunajaa jinamizi liitwalo CDM. kutokana na hivyo kichwa kinatengana na kiwiliwili na masaburi ndo yanato maamuzi ya kuua watu wasio hatia.
   
 4. K

  Kizotaka JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akili zao ni fupi sana hawa watu, wanafikiria kuishia chini ya pua zao. Wanadhani wantutisha kuwa tutakufa tukiandamana. Pumbafu sana halafu unaomba msamaha,halafu ***** anasema eti walipiga mawe ofisi ya ccm, mi nilidhani kuna kada wa hilo li chama la kishetani kafa, mashetani kabisa hawa. Na hao polisi niwa msumbiji nini? mbona kwa taarifa zilizoko wanalipwa hela kiduchu sana,hii adabu ya kishetani wanaitoa wapi?
   
 5. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Umefika wakati wa kuwa na utamaduni wa kuachia ngazi unapojiona kuwa kazi inakushinda. Kama kweli ni Mwema basi anza kuwajibika na sio kuomba radhi pekee.
   
Loading...