Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba
Jeshi la Polisi linakwepa kutoa tamko la kukataa au kuthibitisha madai yaliyotolewa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison...
Tunawatathmini vipi Wanaharakati NCHINI na vuguvugu la kisiasa (Live on Star TV) 12 FEBR 2012Habari za JUMAPILI wanaJF;
Leo tunaangazia harakati za makundi ya Wanaharakati NCHINI katikati ya...
...Tangu mwaka 1992; pale, mfumo wa vyama vingi vya siasa (maarufu kama, demokrasia ya vyama vingi vya siasa) uliporuhusiwa kwa Sehria Na. 4 ya mwaka 1992, vyama vimekuwa vikianzishwa na au...
nape kupitia katika simu yake ya mkononi amesema CCm lazima kishinde Arumeru , kwani ni chama makini na kama kikishindwa ujue kimeanza kufa, nayeye anaamini chama hiko bado kipo imara hivyo...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha (RPC).Thobias Andengenye akipanda mti wa ukumbusho wa uzinduzi wa kituo cha polisi cha Mto wa Mbu kilichopo Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha baada ya...
Kutokana na taifa letu kuwa ICU kifwdha kwa sasa, tunamuhitaji mtu mchapakazi ambaye atazalisha zaidi. Haijalishi kama atatumia 60 baada ya kuzalisha 100, kwani 40 alobakisha itawafanyia...
Wakazi 69 wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Songea kujibu mashitaka ya kushiriki katika mkusanyiko usio wa halali na kuharibu mlango mmoja wa...
Ripoti uozo TBS yaiva- Njama za kuizima zaandaliwa
Kamati ya Bunge ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma ( POAC) imebaini matatizo mengi ndani ya TBS yakiwemo ukaguzi wa bidhaa usiokidhi viwango...
Pinda ashtushwa askari kuishi nyumba za tope
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda juzi alishtushwa na nyumba za tope wanazoishi askari Magereza katika Gereza la Kanegere lililopo Kata ya...
Sat, Feb 25th, 2012
Tanzania |
Zitto Kabwe (Kigoma-North, Chadema), who also doubles as chairman of the Parliamentary Committee on Public Organizations Accounts Committee (POAC).
The...
Wanabodi..
Mwenendo wa kisiasa, kati ya watani wa jadi CCM na Chedema sasa umeanza kuzua mijadala ndani ya jamii.
Wananchi wanahoji iko wapi kasi na upepo wa mabadiliko ilikuwa nao Chadema...
Naibu katibu mkuu wa CUF Julius mtatiro ameitaka serikali kuacha kupuuza suala la mfumuko wa bei, kwani limekuwa janga kwa wananchi na kwamba, linaweza kuleta athari kubwa kwa uchumi wa nchi...
Kwanza mlisema ni propaganda za kisiasa,lakini tukashuhudia mzee James mapalala akiondolewa,hatimae akafuatia Wilfred Rwakatare.
Tumeshuhudia mara kadhaa kwenye kampeni zenu majukwaani jinsi...
Leo kutakuwa na baraza la kawaida la madiwani (full council) katika manispaa ya kinondoni saa 5 asubuhi hii. katika baraza hilo kuna mambo mengi yatakayojitokeza, ikiwemo miradi mingi ambayo...
Kelele Zote ambazo Zitto,mnyika,pro-cdm mulizokuwa munapiga kuhusu mkonge nilijua wananchi wa Tanga wapo upande wenu kumbe kimbelembele chenu ndicho kilichokuwa kinawasumbua.
Wananchi wa Tanga...
Na Nasra Abdallah na Asha Bani
MTANDAO wa Mashirika ya Haki za Binadamu Kusini mwa Afrika (SAHRiNGON), umemtaka Rais Jakaya Kikwete, kuwawajibisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma na Kamanda wa Polisi...
UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) Jimbo la Arumeru Mashariki umeomba Kamati ya Utekelezaji ya Wilaya na Mkoa ya Vijana kumchukuliwa hatua za kisheria Kennedy Mpumilwa kwa madai ya tabia ya kuharibu...
Mkulu haachi kitu sasa hivi anahudhuria sherehe za miaka 50 ya Chama cha Kidemokrasia nchini Botswana....amabapo hata Mzinduzi angweza kwenda.
Madelina Albright aliwahi kunukuliwa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Said Mwema, amesema amesikitishwa na kusononeshwa sana na mauaji ya watu wanne yaliyofanywa hivi karibuni katika mji wa songea na vijana wake askari wa jeshi la polisi...