Makamu wa rais atua ndani ya Iringa

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Baada kuwa na ziara katika mikoa ya Rukwa na Mbeya hatimaye leo ameanza ziara ya siku tatu huku kama kawaida ya mkasi wake ataendelea na ufunguzi miradi mbalimbali na hatimaye kuhitimisha ziara katika ukumbi wa siasa ni kilimo katika manispaa ya Iringa.
Naomba kuwasilisha
 
poa mkuu ila msimzomee huyo mtalaaamu wa nyukilia, halafu taarifa zlizopo ni kwamba ndie mrithi wa JK 2015
 
Huyu mzee safari zake hizi za mikoani zinaweza kuwa zinatafuna hela ya walipa kodi kama zile safari za Vasc.o Dagam.a...! Hata hotuba zake hazieleweki vizuri anahema tu.
 
kuna wilaya moja ya mkoa wa pwani kitanda alichonnuliwa kiligharimu pesa ya walipa kodi shilingi milioni 8,..
 
naona ni mashindano sasa,wakati vasco dagama akiizunguka dunia huyu yeye kaona aizunguke tanganyika.Very very interesting.OK keep it up.
 
Nimejitahidi sana kufuatilia kwa karibu mno ziara za hawa viongozi wetu, ila nyingi hazina Meno labda ile Agrey Mwanri kama atakuwa na uwezo wa kufuatilia zaidi yale mabo yote aliyoyakosaoa kule Iringa.
 
Ndo kaz yke xaxa, amekimbia kufundsha chuo kikuu,siasa za kibongo znatia kinyaa!Kwa hyo ziara za utepe na phd yke ndo cha mana?Hollaw Tz, mmh eti mrithi wa jk nan kakuambien?Kesha kufa hyo kisiasa,akalale hko!
 
Nyie wwnyewe c mnampagia akate! Akigoma muanze kusema vibaya akikata kuwaridhisha mnaanza wa mikasi, akizungukia Tz mnasema hana posho akienda za nje atakuwa Vasco, akikaa tu obay mseme hatembelei wananchi wake ajue matatizo yao, afanye nn ss Mhe huyu jamani,
 
Back
Top Bottom