Picha:CUF yamkaba koo mkuu wa wilaya kwa kuchimbisha mitaro raia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha:CUF yamkaba koo mkuu wa wilaya kwa kuchimbisha mitaro raia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWIBA WA KATANI, Feb 27, 2012.

 1. MWIBA WA KATANI

  MWIBA WA KATANI Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana mji wa Tabora mjini (viwanja vya salama)ulizizima baadaya mkutano mkubwa uliofanywa na CUF ukihutubiwa na Naibu katibu mkuu bara Mtatiro Julius na Mbunge wa Tabora viti maalum CUF Magdalena Sakaya.CUF waliivunjavunja serikali ya CCM tTabora na Mbunge wa Tabora ccm Rage.kwa kuanzisha sheria mbovu za kuwakaandamiza wananchi wa Tabora ikiwa ni pamoja na kuwachimbisha rai mitaro.
  Wakazi wa Tabora mjini wakiwa na kiu ya kiu ya kumsalimia Naibu Katibu mkuu wa CUF bara Mh.Juliu.JPG Wakazi wa Tabora mjini wakiwa na kiu ya kiu ya kumsalimia Naibu Katibu mkuu wa CUF bara Mh.Juliu.JPG
  Wakazi wa Tabora mjini wakiwa na kiu ya kiu ya kumsalimia Naibu Katibu mkuu wa CUF bara Mh.Juliu.JPG
  View attachment 48251
  View attachment 48252
  Wakazi wa Tabora mjini wakiwa na kiu ya kiu ya kumsalimia Naibu Katibu mkuu wa CUF bara Mh.Juliu.JPG
  MKUTANO WA CUF TABORA MJINI.Wananchi wakimsikiliza MTATIRO3.JPG
  Wakazi wa Tabora mjini wakiwa na kiu ya kiu ya kumsalimia Naibu Katibu mkuu wa CUF bara Mh.Juliu.JPG
  Mbunge wa wa viti maalum CUF tabora Mh.Magdalena Sakaya akihutubia wakazi wa Tabora mjini viwanj.JPG
  Naibu katibu mkuu wa CUF bara Julius Mtatiro akihutubia mkutano wa hadhara Tabora mjini viwanja.JPG
  Wanacha wa CUF wakifuaatilia kwa makini hotuba ya Magdalena Sakaya Tabora mjini.JPG
  Wakazi wa Tabora mjini wakiwa na kiu ya kiu ya kumsalimia Naibu Katibu mkuu wa CUF bara Mh.Juliu.JPG
   

  Attached Files:

 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Duh Mtatiro huyoooooooooooo naona kashiba haswa .Haya yetu macho kama wamefanya kweli huko then poa tuwape mkono wa heri .
   
 3. Mnyamwezi wa Urambo

  Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hivi viwanja vya salama ndiyo wapi vile?au ni pale Town school shule ya msingi kata ya tambuka leli?
   
 4. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli amevimba si mchezo..hawezi kutoka huko CUF hata mtakaje. Kwanza wanamtumia kama nguzo ya kuficha Uislam ndani ya CUF na kama ngao yao Bara. Nway..kuhusu Mkutano, CUF kwa bara Tabora ni Nguzo yao kuu, so kawaiiiida..isitoshe kwa uzoefu wangu na huo mkoa na CUF yao, for this mass it is a lose.
   
 5. M

  Mkandara Verified User

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hilo tangazo la Kisamba S Tambwe na namba ya simu 0752 017964 ndio nani?
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Usisahau pia Igunga iko Tabora
   
 7. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kisa cha kucopy picha zot hizi ni maneno haya tu !!!
   
 8. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM inapambana usiku na mchana kuiua CUF kwa kumtumia Hamad lakini si kazi rahisi kama wanavyodhani ilifikia hatua wakakiita chama cha magaidi lkini wapi bado kinsurvive kweli CUF roho ngumu sidhani kama vyama vingine pinzani vinaweza kuhimili.WANACUF Songeni mbele yanayowakumba sasa ni mawimbi ya kutengenezwa yataisha na botitafika ng,ambo ya pili.ENDELEENI KUWAPIGANIA WATANZANIA
   
Loading...