Ni zipi Kazi za msajili wa vyama hapa Tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni zipi Kazi za msajili wa vyama hapa Tz

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Angel Msoffe, Feb 27, 2012.

 1. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwa faida ya Watanzania wote ningeomba tujuzane na kuelimishana wajibu alionao mh. TENDWA kwa mujibu wa sheria.
   
 2. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,362
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  kusajili vyama vya siasa.........
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hilo tu?
   
 4. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni kada wa CCM!
   
 5. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumtishia mh. Mb. LEMA
   
 6. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kusajili vyama.
   
 7. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kufanikisha kuiweka ccm madarakani kwa kugeuza matokeo
   
 8. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,929
  Likes Received: 1,461
  Trophy Points: 280
  hii hasaaaa ndiyo kazi yake
   
 9. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ninavyojua mimi msajili wa vyama majukumu yake yanaisha tu baada ya chama kusajiliwa, mambo ya uchaguzi na kampeni hilo ni jukumu la tume ya uchaguzi. Sasa tume ya uchaguzi itafanya nini kama kazi zake zinaingiliwa na msajili.
   
 10. M

  Mkumbavana Member

  #10
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kusikiliza maoni ya wazee wa kimila huko Arumeru mashariki
   
 11. k

  kabuga Member

  #11
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kutongoza tubinti
   
 12. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  huyu mzee namwona kama keshapotea njia na majukumu ya kazi zake inaelekea ndo kesha sahau, kwanini asipate bed rest badala ya kuendelea kukipigia ccm kampeni?
   
 13. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kuwa mpiga propaganda wa c.c.m
   
 14. WAFU FM

  WAFU FM Member

  #14
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kumbukeni ajira yake inatolewa na Rais na inasitishwa na Rais, usitegemee akatenda tofauti na mwajiri wake! Haya yote dawa yake ni katiba mpya, kazi zote kuanzia DC, RC, RAS, DED, wakuregenzi ziwe za kuomba tupeleke CV tupambane sio kupeana sandakalawe za kukosa ubunge
   
 15. chubulunge

  chubulunge Senior Member

  #15
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kula posho tu
   
 16. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kusajili na kulea vyama vya Siasa.

  Ingawa anatenda tofauti na majukumu yake.
   
Loading...