Kura za maoni zinarudiwa baina ya Sioi Sumri na W. Srakikya kwa kuwa hawakufukisha asilimia 50.
Demokrasia CCM ni safu sana.
Source: Nape kupitia Clouds FM
Swali hili limekuwa likiulizwa sana miongoni mwetu, tumekuwa tukijiuliza kwanini Tanzania ni maskini pamoja na maliasili zote tulizonazo?
Leo ningependa kutafakari kuhusu jambo hili kwa kina...
Source: mwananchi 29/2/2012
Wana JF hebu angalieni majibu haya ya Mh. Chiligati halafu mchangie. Mimi nafikiri hana ubavu wa kujiuzulu, nyie je?
Alipoulizwa jana kuhusu tishio lake la kutaka...
Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed
Hatimaye washirika wa Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed, wamewasilisha maombi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kuomba kusajili chama kipya cha Alliance for...
Ni jambo la kushangaza pale ambapo rais ambaye ana miaka 3 bado madarakani anaingia kwenye siasa za fitna za kutafuta mrithi wake 2015, kimsingi Kikwete ana deni kubwa kwa watz ikizingatiwa katika...
MSUGUANO kati ya wabunge wa Dar es Salaam na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi, umeibuka upya baada ya wabunge hao kusema wamepata nyaraka mpya za tuhuma za ufisadi, ukiukwaji wa...
Kesi ile ya matokeo ya lema inaendelea mashahid wanaendelea kujichanganya,nyingine niile alio kataa zamana lema imerushwa mpaka tarehe 30mwezi wa tatu,nyingine niile ya mkesha wa Nmc ina muhusu dr...
John Mnyika
Kamati ya Wabunge wa Dar es Salaam jana ilikutana kwa dharura baada ya kupokea taarifa na nyaraka mpya za tuhuma za ufisadi, ukiukwaji wa sheria, kanuni na maslahi ya wananchi...
TAARIFA kwamba Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CC), imeamuru kura za maoni katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki urudiwe, sio za kufurahisha hata kidogo.
Hatutaki kutaja majina ya...
Wanajamvi,
TAARIFA muhimu toka makao makao madogo ya CCM Lumumba zinaeleza kuwa licha ya mabishano ya chopa itumike ama isitumike kutokana na hatari ya mlima meru hatimaye chopa kutumika rasmi...
Spika, Anne Makinda
Baadhi ya wabunge wa Bunge, wamesema uongozi wa umma sio fedha pekee na kwamba hawana mpango wa kuachana na siasa kutokana na kulipwa mshahara na posho kidogo.
Walitoa kauli...
Lisemwalo lipo, Leo hii wafuasi waliotoka CUf wamewasilisha ombi la kusajili chama kipya kiitwacho ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE kifupi ADC.
Source: Magic Radio
TAARIFA KWA UMMA
RATIBA YA VIKAO VYA UTEUZI WA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI
Kurugenzi ya Habari na Uenezi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatoa taarifa...
Napenda kuwapongeza sana na kuwaunga mkono wanaharakati wote waliojitokeza katika kuandamana na kuonyesha hisia zao kali dhidi ya serikali wakati wa mgomo wa madaktari takribani wiki mbili...
Mbunge wa Vunjo (TLP), Augustino Mrema
Mbunge wa Vunjo (TLP), Augustino Mrema, amewaponda wabunge wanaotaka kujiuzulu ubunge kutokana na posho kuwa ndogo, kwa kuwaeleza kwamba wasitawaliwe na...
CCM Central Committee has directed
that preferential voting be conducted
afresh in Arumeru East constituency in
a quest to get its candidate for the by-
election.
Speaking in Dar es Salaam...
wa mujibu wa mwandishi wa gazeti la tanzania daima la leo (tar 29/2/2012), Prof. Mahalu alikuwa anajitetea mbele ya hakumu mkazi Kisutu akidai kwamba serikali ilihusika moja kwa moja ikiongozwa na...
Wadau na wapenda mabadiliko ya kifikra, kisiasa na kijamii!
Ni Wazo muafaka sana kwa sasa CHADEMA kuanzisha vyombo vyake rasmi vya Habari ikiwa ni pamoja na TV, Radio na Magazeti. Wazo hili...
Hivi vikundi vya vyama vinavyoiywaGuards ni vya nini, viko kwa manufaa ya nani? Kuna Yellow Guards, Green Guards,Blue Guards, White Guards na huenda kuna vingine vya siri. Vikundi hivi nihatari...