Makamu wa Rais akutana na msigwa huko Iringa.ahamasisha shughuli za maendeleo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamu wa Rais akutana na msigwa huko Iringa.ahamasisha shughuli za maendeleo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Mar 1, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mar 1

  [h=1]MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA MACHINJIO-IRINGA[/h]


  [​IMG]
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka jiwe la msingi katika Jengo jipya la Machinjio lililojengwa katika Kijiji cha Ngelewala mkoani Iringa wakati akimalizia ziara yake katika mkoa huo jana Februari 29, 2012. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, C. Ishengoma.
  [​IMG]
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Kilimo na Mifugo wa Manispaa ya Mafinga, Augustino Nyenza, wakati akitoa maelezo kuhusu jengo jipya la Machinjio lililojengwa katika Kijiji cha Ngelewela mkoani Iringa, jana Februari 29, 2012.
  [​IMG]
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wachungaji wa mkoani Iringa, baada ya kumaliza majumuisho ya ziara yake katika mkoa huo jana Februari 29, 2012.
  [​IMG]
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini, kupitia tiketi ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, wakati akiwa Uwanja wa Ndege wa mkoani Iringa jana akirejea jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza ziara yake ya mkoani humo.Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais
   
 2. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huyo makamu wa rais ana dharau sana..mikono ya nini mifukoni wakati anapewa shule na mtaalam?? hivi Tanzania hakuna maadili kwa viongozi??
  Really disappointed by the second image!!..
   
 3. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Lini atafunguwa nuclear power station tuondoke na kero la umeme?
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Huenda kuja jambo lilikuwa halienda sawa mkuu! Hizo ni dalili za mtu kuwa na shida fulani fulani.
   
Loading...