Philipo Agustino Mulugo ndie Amimu Agustino?

Philipo Agustino Mulugo ndie Amimu Agustino?

Jiwe la Ukara

Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
44
Reaction score
31
Mhe. Mulugo, Naibu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi alisoma High School Songea Boys kuanzia mwaka 1994-1996. Habari za kuaminika kutoka kwa mmoja wa wanafunzi wa Songea Boys kipindi hicho anasema kuwa Philipo Mulugo wa sasa sio yule aliyekuwa Songea Boys kipindi hicho. Mtoa habari anasema kuwa Philipo Mulugo wa sasa alikuwa anaitwa Amimu Agustino ambaye alikuwa ni rafiki mkubwa na Philipo Mulugo ambaye si huyu wa sasa (Mbunge wa Songwe na Naibu Wazirin wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi).
Mtoa taarifa anaendelea kusema kuwa mara baada ya kuhitimu kidato cha sita Amimu Agustino alimwomba cheti Philipo Mulugo ili akitumie kupata kazi ya ualimu pale Southern Highland Secondary School. Kuanzia hapo Amimu Agustino alianza kutambulika kama Philipo Mulugo.
Mtoa taarifa anaendelea kujuza kuwa Philipo Mulugo mwenyewe ni Mwajiriwa serikalini na miaka michache iliyopita alimaliza masomo yake ya Shahada ya Pili (Masters) pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mwenye taarifa zaidi atuabalishe kuhusu habari hizi.
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
[TR]
[TD] alutation
[/TD]
[TD] Honourable
[/TD]
[TD="width: 42%"]
Member picture
clip_image002.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] First Name:
[/TD]
[TD] Philipo
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Middle Name:
[/TD]
[TD] Augustino
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Last Name:
[/TD]
[TD] Mulugo
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"] Member Type:
[/TD]
[TD="width: 38%"] Constituency Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Constituent:
[/TD]
[TD] Songwe
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Political Party:
[/TD]
[TD] CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Office Location:
[/TD]
[TD] P.O. Box 9121, Dar Es Salaam
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Office Phone:
[/TD]
[TD] +255 754 315 922/+255 784 315 922
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ext.:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Office Fax:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Office E-mail:
[/TD]
[TD] pmulugo@parliament.go.tz
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Member Status:
[/TD]
[TD] Current Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Start date:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] End date:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Date of Birth
[/TD]
[TD] 27 January 1972
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
[TR]
[TD="colspan: 5"] EDUCATIONS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 35%"] School Name/Location
[/TD]
[TD="width: 27%"] Course/Degree/Award
[/TD]
[TD="width: 15%"]
Start Date
[/TD]
[TD="width: 13%"]
End Date
[/TD]
[TD="width: 10%"]
Level
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Rukwa Primary School, Chunga
[/TD]
[TD]
Primary Education
[/TD]
[TD]
1982
[/TD]
[TD]
1989
[/TD]
[TD]
PRIMARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Mbeya Secondary School
[/TD]
[TD]
O-Level Education
[/TD]
[TD]
1990
[/TD]
[TD]
1993
[/TD]
[TD]
SECONDARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Songea Boys' High School
[/TD]
[TD]
A-Level Education
[/TD]
[TD]
1994
[/TD]
[TD]
1996
[/TD]
[TD]
HIGH SCHOOL
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Open University of Tanzania
[/TD]
[TD]
BA (Economics Education )
[/TD]
[TD]
2002
[/TD]
[TD]
2008
[/TD]
[TD]
GRADUATE
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
[TR]
[TD="colspan: 4"] CERTIFICATIONS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Certification Name or Type
[/TD]
[TD]
Certification No.
[/TD]
[TD]
Issued
[/TD]
[TD]
Expires
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 7"] No items on list
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
[TR]
[TD="colspan: 4"] EMPLOYMENT HISTORY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Company Name
[/TD]
[TD]
Position
[/TD]
[TD]
From Date
[/TD]
[TD]
To Date
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] The Parliament of Tanzania
[/TD]
[TD] Member - Songwe Constituency
[/TD]
[TD]
2010
[/TD]
[TD]
2015
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Southern Highland Secondary School
[/TD]
[TD] School Managing Director
[/TD]
[TD]
2008
[/TD]
[TD]
2010
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Southern Highland Secondary School
[/TD]
[TD] Administrative & Personnel Officer
[/TD]
[TD]
2005
[/TD]
[TD]
2010
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Southern Highland Secondary School
[/TD]
[TD] Teacher
[/TD]
[TD]
2000
[/TD]
[TD]
2004
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
[TR]
[TD="colspan: 4"] POLITICAL EXPERIENCE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 47%"] Ministry/Political Party/Location
[/TD]
[TD="width: 31%"]
Position
[/TD]
[TD="width: 12%"]
From
[/TD]
[TD="width: 10%"]
To
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Chama Cha Mapinduzi, CCM
[/TD]
[TD] Member - National Executive Committee
[/TD]
[TD]
2008
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Chama Cha Mapinduzi, CCM
[/TD]
[TD] Secretary General - Mbeya Region (Parents)
[/TD]
[TD]
2008
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Chama Cha Mapinduzi, CCM
[/TD]
[TD] Member - Chunya District Political Committee
[/TD]
[TD]
2007
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
[TR]
[TD="colspan: 2"] PUBLICATIONS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Description
[/TD]
[TD] Published Date
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 7"] No items on list
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
[TR]
[TD="colspan: 4"] SPECIAL SKILLS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Skill Name or Description
[/TD]
[TD] Years Experience
[/TD]
[TD] Acquired Through
[/TD]
[TD] Skill Level
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 7"] No items on list
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
[TR]
[TD="colspan: 5"] RECOGNITIONS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Recognition Type
[/TD]
[TD] Recognition Date
[/TD]
[TD] Reason
[/TD]
[TD] Action Taken
[/TD]
[TD] Issued by
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 7"] No items on list
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Now this is serious kama ni kweli... naona ve(n)ting ilisahau

Mkuu kama vetting inaweza kulisahau hili basi shida ni kubwa!

Mbona jamaa anaonekana kuandamwa na mambo mengi: Mara yule yake iligushi mitihani na hii ya sasa kwamba anatumia jina ambalo silo!
 
Naitamani tanganyika yenye uwajibikaji kwenye ishu kama hizi
 
Mkuu kama vetting inaweza kulisahau hili basi shida ni kubwa!

Mbona jamaa anaonekana kuandamwa na mambo mengi: Mara yule yake iligushi mitihani na hii ya sasa kwamba anatumia jina ambalo silo!
inasikitisha sana kuona wengi waliopewa dhamana walipita njia zisizo halali kufika hapo walipo, this inanifanya nihoji integrity ya "system" yetu na serikali yetu kwani wamejazana sana wenye makaratasi famba

dawa ilitakiwa kuwa kama alivyofanyiwa kihiyo!!! kupiga chini wote
 
Kweni kina Mulugo ni majina ya wapi? Kwa Tanzania hii inawezekana na mie mwenzenu bado nashangaa TBC kukomalia... Dr Mrema kasema.....,naye Dr
 
inasikitisha sana kuona wengi waliopewa dhamana walipita njia zisizo halali kufika hapo walipo, this inanifanya nihoji integrity ya "system" yetu na serikali yetu kwani wamejazana sana wenye makaratasi famba

dawa ilitakiwa kuwa kama alivyofanyiwa kihiyo!!! kupiga chini wote

Mkuu kama hili si jungu mbona itajulikana tu. Manake ni suala tu la kufuatilia huko Songea Boys na hata hapo UD na kujua huu u Mulugo ukoje!
 
Now this is serious kama ni kweli... naona ve(n)ting ilisahau

Tanzania hakunaga tena authentic vetting...Ipo targeted vetting kama ile inayoendelea Arumeru!!

Hata hivyo siwezi kushangaa......!!

Kama mtu mwenye elimu ya darasa la saba anaweza kuwa daktari na kutibu wagonjwa with pride as a qualified physician, huyu itakuwa ni cha mtoto!!

Babu DC!!
 
Loading.....0.....%
The webpage you are looking is not available!

Mulugo ambaye ni Naibu Waziri imefika wakati akajitokeza akajibu tuhuma hizi kwa kuwa kwa kukaa kimya kwake jamii itaziamini kuwa ni kweli anatimia fake credentials.

Apate ujasiri ajitokeze kama alivyojitokeza Dr Cyril Chami kutetea afya yake. Kama anasubiri JK amteme kwenye reshuffle ya cabinet itakuwa mbaya sana kwake.
 
Mkuu kama hili si jungu mbona itajulikana tu. Manake ni suala tu la kufuatilia huko Songea Boys na hata hapo UD na kujua huu u Mulugo ukoje!

Hili likifuatiliwa nitajua kuwa kweli Watanzania tunapenda kuwaonea wenzetu...

Kwa nini tusimalizane na ripoti ya Msemakweli???

Au ndiyo mambo ya selective and targeted elimination??

Babu DC!!
 
Hivi yule Mbunge wa jimbo moja huko usukumani aliyekuwa anaitwa Chitalilo aliishia wapi?

Babu DC!!
 
Dark city naheshimu michango yako ktk JF, ila kumbuka two wrongs do not make one right. Yale ya Msemakweli yanashughulikiwa kwa mfumo wa kimahakama na yameibuliwa na watu tofauti. Huyu Naibu ameibuliwa na wana JF kutokana na mediocrity ya performance yake.
 
Nakubaliana na wewe kaka,

Hata mie sijasema kuwa huyu Mheshimiwa hana makosa...Ila najaribu kushangaa ni kwa jinsi gani anaweza kufuatiliwa wakati kuna ma-file kibao ambayo hayajaguswa kwenye issue ile ile!!

Ndo maana kuna mwandishi alisema kuwa wakati umefika kushughulika na tatizo la msingi.....Haya yanaendelea kuwepo kwa sababu mlinzi wake bado yuko pale pale!!

Babu DC!!
 
Mkuu kama hili si jungu mbona itajulikana tu. Manake ni suala tu la kufuatilia huko Songea Boys na hata hapo UD na kujua huu u Mulugo ukoje!

Hili likifuatiliwa nitajua kuwa kweli Watanzania tunapenda kuwaonea wenzetu...

Kwa nini tusimalizane na ripoti ya Msemakweli???

Au ndiyo mambo ya selective and targeted elimination??

Babu DC!!

Mkuu sikuwa na maana kwamba wengine wasifuatiliwe. Ufisadi wa elimu ni ufisadi tu.
 
Ingekuwa kule kwe2 europe jamaa kwa post hizi angekimbilia maelezo kuachia ngazi..nji hii bana
 
Ingekuwa kule kwe2 europe jamaa kwa post hizi angekimbilia maelezo kuachia ngazi..nji hii bana

Mwaka jana kuna waziri wa Ujerumani alijiuzulu baada ya kupata PhD lakini ikaja kujulikana kwamba alifanya plagiarism.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Hivi yule Mbunge wa jimbo moja huko usukumani aliyekuwa anaitwa Chitalilo aliishia wapi?

Babu DC!!

Tangu DPP aliposhindwa kumfngulia mashtaka ndipo nilipoona kwamba wananchi wengi wanapata incentive ya kupita njia za panya kujipatia ajira kwa vyeti fake.

Huyo Mbunge alipoteza jimbo kwenye ngazi ya kura za maoni.

Sasa ikifika mahali Naibu Waziri wa Elimu anakuwa accused kutumia cheti cha mtu mwingine ili kupata ajira, hapo kweli tunajenga taifa linalothamini elimu? Unajua wakati mwingine it is much easy kumnyooshea kidole mwenzako kama unajijua ni msafi. Sasa kama hizi tuhuma ni za kweli, then tuandike maumivu.

Kwa waandishi wa habari wadadisi na wachunguzi, hili dondoo linatosha kufuatilia habari hii na kuweza kuanika uozo wote. Ni swala dogo sana, ni kwenda Mbeya Sekondari alikosoma na Box Two, kila kitu watapata, then wanamalizia kutegua kitendawili kwamba Amimu Augustino alipotelea wapi na huyu twin mwingine wa Philipo Augustino Mulugo nae alitojitokeza kwa njia ipi.

Lakini kwa kuwa mhusika ni Kada wa CCM na pia Mh. Naibu Waziri, hakuna kitakachoandikwa wala kufuatiliwa.
 
Kuwa mwanasiasa kuna gharama kubwa sana. Inapasa usiwe na moyo wa nyama? Laiti Mulugo angejua...!
 
Kuna shemeji yake/mpambe pale Mbalizi ntamtumia kupata datas za ukweli! ila kwa utendaji wa kibabaishaji wa Mulugo sitashangaa ikiwa kweli
 
Back
Top Bottom