Wakimtosa sioi, jimbo litaenda chadema!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakimtosa sioi, jimbo litaenda chadema!!!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Nali, Feb 28, 2012.

 1. N

  Nali JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 748
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Wana Jamvi,

  Habari kutoka watu wa karibu na SIOI, inasema kuwa kundi limejipanga kuwa endapo atashindwa kwenye kura za maoni au atashinda na pengine CC ya CCm ikamtosa, then wataungana na Chadema kumwangusha Sarakikya....

  Kaaaazzzzz kweli kweli......
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 26,295
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  Wamtose wasimtose hilo jimbo ni la Chadema. over
   
 3. S

  Shansila Senior Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sioi anapaswa kuoa!kwa nn anaapakuwa haoi?
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,878
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Magamba yanaruka na kukanyagana. Inaleta raha ndani ya roho.
   
 5. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,310
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Jimbo lapaswa kwenda kwa yeyote mwenye sifa stahiki,awe wa chadema ama chama chochote, lakini asitoke kwenye kundi la mafisadi.
   
 6. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,254
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sarakikya naye inabidi awe na uamuz kama wa huyo asiyetaka kuoa,
  so jimbo ni letu peoplez power!
   
 7. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,560
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Wanasogelea mtego tayari kwa kunaswa kotekote.
   
 8. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,084
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Mkuu Nali nadhani umekosea jinsi ya kuwasilisha hii mada ungesema "wakimtosa sioi jimbo litaenda KIRAHISI chadema" wewe umesema as if ccm watashinda.
   
 9. M

  Msharika JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 935
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kama mambo ni hivi, basi nasubiri bunge la april kumwona kijana nasari akiapa kuwa mbunge halali wa arumeru mashariki
   
 10. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,675
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  ..Eh!!
   
 11. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 3,986
  Likes Received: 9,232
  Trophy Points: 280
  Kwa maana yako wakimsimamisha SIOY jimbo litakwenda CCM?
  Na wewe unamini hivyo?
   
 12. N

  Nali JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 748
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Ndo manake!!
   
Loading...