Amka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amka!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Davesto, Mar 1, 2012.

 1. Davesto

  Davesto JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 60
  Kuna viongozi wengi ambao niliwaamini kwa nguvu
  waliotoka nayo mtaani,na matatizo wanayo yajua ya
  vijana,lakini hamuwezi kuamini hii nchi inaongozwa
  kwa misingi ambayo vyama vyote vinafata hiyo
  misingi,so siwezi kushangaa m2 kama Zito Kabwe
  kuwa mdogo katika maamuzi,sinto shangaa siku kuona Mbowe kavaa nguo ya kijani na njano,hizi ni
  chambi chambi2 za kuwafanya wanchi wawe na
  matumaini,ila hakuna chama kitakacho weza kuitoa
  ccm madarakani kwa sababu wao wenyewe ni
  ccm,kweli unaweza kupata matumaini ila kumbuka
  kila jambo linakuwa limepangwa kiufupi game ya siasa bongo ni KARATA3,si shangai kuona Ruge na
  Sugu kuifata misingi hii,sikulazimishi uniamini ila
  kama unaweza niamini,sinto shangaa kuona walio
  hujumu nchi kuendelea kuitwa
  waheshimiwa....mackini wanaitwa majambazi na
  kuuliwa au kufungwa ila kwa vingozi wanaitwa mafisadi kwanini lisitumike jina moja mana hawa
  wapo njia moja ya utendaji dhambi...wanaongea
  Bungeni utekelezaji wa majimbo mdogo,wanaongea
  na wanawake utekelezaji wa ngono ni
  mkubwa,sinto shangaa kuckia kila kiongozi anakufa
  na shinikizo la dam,vijana tufanyeni kazi,kama tunaweza tusome zaidi kama mishe mishe tuzifanye
  zaidi ila usipoteze muda kwa issue ya siasa NI
  MTAZAMO WANGU TU!!!!

  By Rama Dee
   
 2. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,394
  Likes Received: 8,519
  Trophy Points: 280
  .....niliisoma hii kupitia profile ya adili nkwela kule fb,ndg. post(thread) za fb zinaishia hukohuko fb.huku jf hazina nafasi.
   
 3. Davesto

  Davesto JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 60
   
Loading...