Mahakama yaamuru jangwani wasibomolewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama yaamuru jangwani wasibomolewe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Mar 1, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [h=6][/h]Mahakama yaamuru Jangwani wasibomolewe
  Nora Damian Dsm.
  MAHAKAMA Kuu,Kitengo cha Ardhi, imetoa amri kwa mamlaka zinazohusika kutovunja nyumba katika eneo la Jangwani mpaka itakapotoa uamuzi mwingine. Hatua hiyo imekuja baada ya wakazi 548 kuwasilisha kusudio mahakamani la kutaka kumshtaki Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Jiji na Mwanasheria Mkuu wa serikali kutaka kuwahamisha wakazi hao.Amri hiyo ilitolewa jana na Jaji Beatreice Mutungi wa mahakama hiyo baada ya Wakili anayewateteta wakazi hao Barnaba Luguwa... Source: Mwananchi Habari
   
Loading...