Hivi kile kitengo cha propanganda cha CCM kipo bado kipo, na Tambwe Hiza siku hizi yupo wapi na Ana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kile kitengo cha propanganda cha CCM kipo bado kipo, na Tambwe Hiza siku hizi yupo wapi na Ana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malyenge, Mar 1, 2012.

 1. M

  Malyenge JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 4,457
  Likes Received: 1,388
  Trophy Points: 280
  Wakuu nisaidieni kunijuza, hivi kile kitengo cha propaganda cha Chama Cha Mapinduzi kilichokuwa chini ya Tambwe Hiza bado kipo? Maana tangu mwaka 2010 baada ya uchaguzi mkuu sijakisikia na wala Tambwe Hiza mwenyewe simsikii na wala sijamwona tokea kipindi hicho, je yuko wapi? Naomba mnijuze jamani.
   
 2. C

  CDM Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Tambwe kajichokea taabani yupo utamkuta keko anaomba bia
   
 3. N

  Ndole JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kweli mkuu. Hivi ndo yeye alisomba watoto na kuwajaza Karimjee kwenye ukusanyaji wa maoni ya katiba mpya???? Kama ni yeye basi yupo anasubiri tena mkutano mwingine awkomoe CDM.
   
 4. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kipo, ila kwa sasa hakin kazi muhimu kwa hiyo kipo kimyaaaaaaaa.
   
 5. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,379
  Likes Received: 8,503
  Trophy Points: 280
  nadhani atakuwa busy kufanya mazoezi ya kupunguza kile kitambi chake.lol.
   
 6. juma sal

  juma sal Senior Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Anapika mama ntilie sokoni kalume
   
 7. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nasikia jamaa zake wa zamani wanamkwepa kwa tabia ya kuombaomba ofa za bia. Nilijua tu watu wababaishaji na wachumia tumbo kama tambwe hiza hawawezi kusurvive mbele ya Mukama.
   
Loading...