Ofisi ya cuf mkoa wa mara yafungwa-viongozi wamejitoa wakidai wanajipunyua manyoya ya cuf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi ya cuf mkoa wa mara yafungwa-viongozi wamejitoa wakidai wanajipunyua manyoya ya cuf

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by George Maige Nhigula Jr., Mar 1, 2012.

 1. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ofisi ya CUF Mkoa wa mara imefungwa kwa viongozi wote wa mkoa kujitoa na kudai kuwa wanajipunyua manyoya ya CUF na kushusha tuhuma nzito kwa uongozi wa CUF taifa kuwa umekosa mwelekeo na umeendekeza ubinafsi na kutowasikiliza wanachama, na kufanya mambo kwa utashi wa watu wachache.

  Nadhani huu ni mwendelezo wa kusambaratika rasmi kwa chama hiki kilichowahi kuvuma kwa sera zake za ngangari baada ya wanachama wake wengi waliojitoa muhanga kukipigania chama hicho, kuhisi usaliti mkubwa wa viongozi wake wa Taifa ambao wanakula bata kwa kufunga ndoa ya mkeka na magamba.

  Source ITV HABARI
   
Loading...