Viongozi chadema angalieni hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi chadema angalieni hili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kipuyo, Mar 4, 2012.

 1. k

  kipuyo JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 1,141
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Nikiwa mmoja wa wapenzi na mashabiki wakubwa wa mabadiliko makubwa kwenye nchi hii,naomba nichukue nafasi hii kutoa ushauri wangu kwa viongozi watendaji wa chama kinachoelekea kutupeleka kwenye mabadiliko ya kweli( namaanisha CHADEMA).Ushauri wenyewe ni huu hapa

  • Kwa kuwa ruzuku ipo andaeni vipindi maalum angalau mara moja kwa wiki kwenye vituo vya televisheni na redio vyenye wasikilizaji kwenye maeneo mengi ya nchi.Vipindi hivi viwe vya kuelezea kwa kina sera na mlengo wa chama chetu.Hii itarahisisha sana uenezaji wa chama katika maeneo mbalimbali na pia itapunguza sana kazi ya kueleza ilani ya chama wakati wa chaguzi mbalimbali.
  • Kuandaa tafiti mbalimbali katika maeneo tofauti hapa nchini juu ya hali halisi ya kukubalika kwa chama na masuala mengine muhimu kwa mustakabali wa chama chetu.Tafiti hizi zifanywe na vijana wanaharakati kutoka vyuoni.
  • Kuhakikisha kuwa kwenye bajeti ya chama kwa mwaka wa fedha 2012/13 mojawapo ya shughuli yake ni kuwapa mafunzo ya uongozi wale wote waliojitokeza kuipigania CHADEMA kwenye uchaguzi wa mwaka jana.Hii ni kwa wale ambao wanaendelea kuitumikia chama vyema katika maeneo yao na itasaidia sana kuwafanya wasikate tamaa.
  • Kuandaa operesheni za chama kwenye kila kanda itakayoongozwa na vijana wanaharakati kutoka kwenye mikoa husika wakisaidiana na baadhi ya viongozi kutoka kwenye kamati kuu na
  • Kukumbuka kufanya mikutano ya kuwashukuru wapiga kura popote pale uchaguzi utakapofanyika hata kama CHADEMA hawajaibuka washindi.
  Ahsante kwa kutopuuza
   
 2. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umesomeka Kipuyo.
   
 3. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mawazo mazuri. Ila wasiwasi wangu ni hawa watanzania wasivyo na elimu ya Uraia. Utatumia mbinu zote hizo halafu mzee wa mamvi anatinga na TShirts na kofia za kijani na anashinda uchaguzi
   
 4. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Hope wameona na watalifanyia kazi hili!mawazo mazuri sana.
   
 5. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwanza tunataka makao
  makuu ya kisasa.
   
 6. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Mawazo mazuri sana kwa uongozi wa chadema. Yafanyiwe kazi kwa mustakabali mwema wa chama.
  Naunga mkono mawazo haya kwa asilimia mia.
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mawazo yako mazuri wahusika watayafanyia kazi.
   
 8. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,674
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  teh tee tee teh!!
   
 9. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  Mawazo mazuri sana naamini yamewafikia walengwa
   
 10. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  tangu lini 'blood group' ya mtu ikabadilika wajemeni?
   
 11. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  mkuu umeua nyok kwa kumpiga kunako kwa kichwa, bravo kwa sana mkuu!
   
 12. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,788
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  positive!!!
   
 13. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,788
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  labda amekuwa genetically modified
   
 14. h

  hsagachuma Member

  #14
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya kanyaga twende
   
 15. t

  tumpale JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 201
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nimeipenda nzuri.
   
 16. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Yote uliyo sema ni mazuri, naomba CDM muyazingatie.
   
 17. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #17
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haya hiyo kadi ya ma.gam.ba unarudisha lini na kuchukua ya cdm?
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Definite...
   
Loading...