Usalama Uimarishwe Arumeru Mshariki

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Msisimko wa Kisiasa unapoendelea ktka maeneo mbalimbali ya Jimbo la Arumeru Mashariki kwenye uchaguzi mdogo yanakila dalili ya silaha za jadi kutumika.Hivyo tunavoimba vyombo vya usalama kuimarisha ulinzi wakati wa kampni.Wameru wengi wanahisia za kuonekana kimabavu na hali inaweza kuwa mbaya kwani bila shaka nguvu nyingi za kampeni zitaelekezwa huko.Hivyo ushabiki kuwa mtamu zaidi.Ili ushabiki huu wa kisiasa unoge vyema tunaomba sana kila chama kiendeshe kampeni za kiustaarabu na kufuata ratiba sahihi zitakazopangwa na tume ya uchaguzi.

Nawaelewa wameru na ni vyema usalama ukaimarishwa

aksante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom