Wanahabari iringa - kutopewa posho moja ya sababu kuandamana kwao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanahabari iringa - kutopewa posho moja ya sababu kuandamana kwao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MJIMPYA, Mar 4, 2012.

 1. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Wanadai ofisi ya RC Iringa inawatumia bila kuwalipa posho,


  "Alisema kuwa wanahabari mkoa wa Iringa wamechoshwa kunyanyaswa na ofisi ya mkuu wa mkoa na mara nyingi ofisi hiyo ya mkuu wa mkoa wa Iringa imekuwa ikidai kuwa serikali haina pesa jambo ambalo kimsingi ni sawa na kuishusha heshima serikali ya Tanzania .

  Mwangosi alisema kuwa serikali ya mkoa wa Iringa imekuwa ikidai haina fedha za kulipia malazi na chakula kwa wanahabari huku msafara mfano wa makamu wa Rais ukiwa na magari zaidi ya 35 na viongozi wote katika magari hayo hadi madereva walilipwa posho ila wanahabari na askari polisi waliambiwa serikali haina pesa za kuwalipa
  "


  Full story ponyeza hapa
  Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
   
Loading...