Wakati Chadema wanaendesha siasa CCM wanapanga mipango na tume ya uchaguzi Arumeru

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Harakati za viongozi wa CCM katika ofisi kuu za tume ya uchaguzi zinaanza kututia shaka kwani katika kipindi kifupi tu watu wameshuhudia Nape na mwigulu mchemba wakipita katika ofisi za tume ya uchaguzi. Nini kinaendelea katika harakati za Arumeru kati ya Chadema na CCM?.
 
Kupita tu eneo la tume ya uchaguzi ndiyo useme hivyo? Nadhani wewe hujui fitna.
 
Hata wakilala tume ya uchaguzi,wananchi wakiamua kupitia saduku la kura Nape n Mwigulu ni wadogo sana kupindisha maamuzi ya wananchi! Uchaguzi huu ni kipimo kwa tume hii mpya,inaangaliwa na jicho la tatu,wasirogwe kutoa shukurani ya ushindi kwa aliyewateua,huu si mpira.
 
Acha waende huko lakini sidhani kama watu wa Arumeru wanaweza kukubali kudhulumiwa haki yao
 
Thread haina mashiko,watu kupita eneo la ofisi za tume kuna tatizo gani? embu tuache kuweweseka unless kama umeona wanafanya jambo lingine uteleze kinaga ubaga mkuu
 
Kupita tu eneo la tume ya uchaguzi ndiyo useme hivyo? Nadhani wewe hujui fitna.

mkuu mtu akisema amepita unaelewaje? nkisema nmepitiwa na usingizi unaelewaje? unafikiri wanapita mikono mitupu? pole sana.
 
Harakati za viongozi wa CCM katika ofisi kuu za tume ya uchaguzi zinaanza kututia shaka kwani katika kipindi kifupi tu watu wameshuhudia Nape na mwigulu mchemba wakipita katika ofisi za tume ya uchaguzi. Nini kinaendelea katika harakati za Arumeru kati ya Chadema na CCM?.

Weekend na vituko vyake, ni ofisi ipi wamepita? na kwa nini wasipite? kweli akili ni nywele, mbaya zaidi umechanganya na valuer.
 
Wapite tu Wameru si wanyeremba. Singida mkoa wa mwisho KWA MAENDELEO Tanzania lakini Nape na Mwigilu wanaifia CCM;
 
Hata wakilala tume ya uchaguzi,wananchi wakiamua kupitia saduku la kura Nape n Mwigulu ni wadogo sana kupindisha maamuzi ya wananchi! Uchaguzi huu ni kipimo kwa tume hii mpya,inaangaliwa na jicho la tatu,wasirogwe kutoa shukurani ya ushindi kwa aliyewateua,huu si mpira.

na wewe ni great thinker? Upo sawa mengine ila hapa hakuna 2me mpya
 
kuna tofauti kati ya Chadema na CCM chadema wanaendesha siasa lakini CCM wanacheza siasa sasa kaeni mkijua majuto ni mjukuu
 
Back
Top Bottom