Media Tanzania imenunuliwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Media Tanzania imenunuliwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Feb 22, 2011.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 4,017
  Trophy Points: 280
  Inakuwaje Al-Adawi mmiliki wa Dowans Tanzania anaamuru kutopigwa picha na media nzima inakubali? Interests za nchi hii zimeishia wapi? uzalendo upo wapi? yaani ninavyojua lile gazeti ambalo lingetoa picha ya jamaa lingeuzika sana..ila cha ajabi media nziima imetii kutopiga picha huyo jamaa! Kunani hapo? je kuna sheria inaweza kumfunga mpiga picha kwa vile amemfotoa jamaa?
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  hivi Tanzania ina magazeti mangapi?
   
Loading...