MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,304
Habari kwamba CCM inamtumia rais wa awamu ya tatu Ben Mkapa kuzindua kampeni zake za ubunge jimbo la Arumeru ni dalili kwamba JK hana confidence ya kukubalika kama atasimama. Kama CCM ina confidence na uongozi wake basi ingeleta viongozi waliopo na si wale waliopita wakaacha some legacy. Naomba CHADEMA itumie udhaifu huu ambao CCM imeuonyesha wenyewe kama silaha ya kuimaliza kwenye jimbo la Arumeru. CHADEMA itatumia viongozi wake wa kitaifa kufungua kampeni kuonyesha kwamba hawana doa ila CCM inaogopa na inataka kuwafanyia watu wa Arumeru kiini macho cha kumleta Mkpa kumwingiza Sumari kwenye serikali ambayo tayari ni NI CORRUPT NA FAILURE.
Mtu akichafuka hasafishiki kama CCM na akitaka kuomba kitu mahali hathubutu kwenda mwenyewe kuhofia kejeli na zomea zomea na pia kuogopa kuulizwa maswali kuhusu udanganyifu, wizi na mambo mabaya ambayo anafanya. CCM imefikia hapo na ili kuficha uchi na aibu inatumia viongozi wastaafu. HII NI AIBU NA WANA ARUMERU WANATAKIWA WAFAHAMU ILI NA WAWAPE ADHABU YA KUWADHALILISHA KUPITIA SANDUKU LA KURA
Pia kumleta Mwigulu Mchemba kuwa mratibu wa kampeni za CCM ni kuwadharau wana Arumeru kwani kama huyu MZINZI ndiye aliyeonekana anafaa kuja kumpigia kijana wao kampeni basi wana Arumeru wameshapewa majibu kwamba CCM ina wa sanifu Wana Arumeru inabidi wame makini na wake zao mchemba anapokuwa humo jimboni wakijua kabisa kilichompeleka kule ni pamoja na ku abuse na hilo ni li pepo la CCM