Wito kwa CHADEMA kutoka Arumeru Mashariki... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito kwa CHADEMA kutoka Arumeru Mashariki...

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mashimbamang'oma, Mar 4, 2012.

 1. m

  mashimbamang'oma Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa viongozi wa chama, mbunge wetu mtarajiwa joshua nassari, wafanya biashara deal...,,,.. Vijana wa jimbo la arumeru mashariki tunahitaji nembo, bendera, magwanda na vitambulisho vya chama.. Tupo tayari kununua kwa bei yoyote tutakayouziwa,,, tunajua chama chetu ni kichanga hakitoweza kutugawia watu wote kama vijana tunaokipenda chama tupo tayari kuchangia pesa kuvipata vitu hivyo...pia waendesha toyo wa kituo cha leganga wanaitaji bendera maana ziliishia usa river... Chama chetu kitajengwa na vijana wenye hari... Nawakilisha...
   
 2. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60

  mkuu jaribu kuwasiliana na uongozi wa chadema uliokaribu nawe, hata kama hujui basi uliza kwa wenyeji,sio kila jambo la lu-post humu kabla ya kuonyesha jitihada za kutaka kufanikisha, maswala mengine ni madogo au unataka kuonyesha kuwa cdm hawana ofisi huko arumeru?
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yeye ameona JF inafaa... na nadhani amefikia wengi zaidi, kumbuka amejumuisha wafanyabiashara pia ambao wanweza kuuza magwanda na bendera

  umemuelewa vibaya mno.... kwani chadema wanauza magwanda??
   
 4. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Chadema forever
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  ukiiga kunya kwa tembo utapasuka msamba. Nani sasa wa kutoa hivyo vitu? Mbowe au SLaa? hapo pagumu.
   
 6. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  siyo pagumu labda we ndio unaona ni pagumu maana we ni ma.gamba
   
 7. Sihali

  Sihali Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgonjwa weee. Vijana bila ya wazee au hujui kuwa mtei ni msemaji mkuu wa chadema?
   
 8. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hii nayo ni njia sahihi. CHADEMA inatumia ICT kwa kuwa wanachama wake wengi wanatumia internet. Ulitaka aende kwa mjumbe wa nyumba kumi?
   
Loading...