Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ipo cku uwongo wenu utafika mwisho 2015 cjui mtakimbilia wap nina uwakika kwa style hii ya cdm ya kwenda vijijin kusambaza sera mtakosa wananchi wakudanganya ngoja 2one leo mtawadanganya nin wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwenu Namomba & Mulongo; Kwa watumishi wa Serikali jambo kubwa kabla ya kuanza utumishi wao ni wao kula kiapo cha Utumishi kwa nafasi ile wanayokwenda kuitumikia. Utaratibu huu unalindwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau mara nyingi nimekuwa nikifuatilia kipindi cha dakika 45 cha itv......ambacho wanasiasa wengi huwa wanaojiwa ila tokea nimeeanza kuangalia wanasiasa wa chadema mbona sioni wakiwa wanaojiwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya rais Jakaya Kiwete kufanikiwa kusitisha mgomo wamadaktari, kwanza nini matarajio yetu kama walengwa? Je atatumia nafasi hii ku-buy time ili kuwasambaratishamadaktari bila kuwafukuza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nimetumia kisimu changu cha mchina, nilipiga picha kadhaa za uzinduzi wa kampeni CDM, kumtafuta mrithi wa udiwani kata ya kirumba. Zitto na Highness kiwia walikuwepo. watu...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Kesho ni siku ambayo mtaalamu wa uchumi wa kimataifa na mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof.Ibrahim Lipumba atakuwa akiwasili nchini kutokea Marekani.Alikuwa kikazi kwa miezi mitano baada ya...
3 Reactions
280 Replies
27K Views
Baada ya Dr.ZITO KABWE kulitikisa jiji la Mwanza jana inafuata zamu ya Dr.Slaa.Ni tarehe 18 Mwezi huu. Karibuni nyote.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba unijuze,kuna watu wa Nyarubanda na Mkigo,wamenipigia simu wananiuliza kama ilo swala lina ukweli.naomba majb Zitto,au mpambe wake anaweza niambia ili niwape majibu wananchi! Iwa mwema...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Kuna tetesi kuwa jk ameteua wakuu wa wilaya wapya. Mmoja wa wateuliwa hao ambaye vilevile ni m/kiti wa UVCCM katika mkoa mmoja wapo wa nyanda za juu kusini, inasemekana ameanza kujigamba na...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Chama chetu kimezindua kampeni za uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki. Uzinduzi ulifana sana kwa maandamano ya wananchi kutoka pande zote za Jimbo na pia Helkopta...
19 Reactions
30 Replies
3K Views
..Ni kama upepo umeanza kuwageukia CCM,baada ya kuwazushia wazee wa ARUMERU kuwa awamtaki LEMA sasa hali imeanza kuwa tofauti kabisa..habari zinasema kuwa wazee wakishili wamempa onyo kali...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
CCM yawatangazia mkesha wananchi wa arumeru lakini washindwa kutekeleza ahadi yao kama ilivyo kawaida ya chama hicho.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Napenda kuwafahamisha wana Jf kote mliko na walioko ndani ya Jiji la Mwanza,leo CDM inazindua kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Kirumba.Nimeanzisha Thread hii nikiwa na maana ya...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Wadau sijasubiri niseme wazee wameniomba,ila ni nafsi yangu sasa imejiridhisha kuwa wakati umefika nami sasa nirudishe nguvu walizotumia watu wa...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Imeelezwa kuwa mradi huu wa mabilioni ya fedha ulibuniwa na kufanyiwa upembuzi yakinifu mwaka 2002. Mkurugenzi wa Mradi huo akihojiwa na Radio Clouds mwanzoni mwa wiki hii alisema hadi kufikia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa taarifa zilizoandikwa kwenye gazeti la leo la Nipashe ukurasa wa ishirini na nane mmoja wa wagomea ubunge amewakasirisha wazee wa meru kwa sababu ametoboa sikio kwa ajili ya kuvaa...
0 Reactions
173 Replies
15K Views
Wafuasi wa Chadema wakielekea katika uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi wa jimbo la Arumeru Mashariki jana. *Ni kwa sababu ya unyenyekevu wetu siyo woga *Uzinduzi warushwa `live` kupitia Tv na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
MADAKTARI wamegoma. Manesi hawawezi kufanya kazi ipasavyo. Kwa hiyo, nao wamegoma. Wagonjwa wanazidi kufa. Nani kawaua? Ni madaktari au serikali? Serikali inasema madaktari hawpaswi kugoma. Eti...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KAMA kuna kitu kinachokitesa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa sasa basi kitu hicho ni chaguzi ndogo za majimbo. Chaguzi hizo zinaivua CCM nguo na kuiweka uchi. Lakini kwa vile chaguzi hizo kwa namna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naomba kiujua muda wa uzinduzi wa kampeni za cdm arumeru east sitaki kumis hii kitu ni muhimu sana
1 Reactions
507 Replies
43K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…