Landala
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 997
- 473
Chama cha Mauaji aka CCM kimeendelea kupata wakati mgumu kwenye kampeni zake za ubunge jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kukosa watu kwenye mikutano yake ya kampeni,leo jioni nilipita kata moja na kukuta watu ni wachache mno na wengi wao ni watoto na akina mama ambao wamepewa kanga na sh 5000 ili waende kwenye huo mikutano yao,mgombea wa CCM ndugu Sioi Sumari ameendelea kutokukubalika maeneo mengi ambapo wananchi wamesema marehemu baba yake aliyekuwa mbunge Jeremiah Sumari aliwaahidi mambo mengi lakini mpaka kifo chake alikuwa hajatekeleza hata robo ya ahadi alizozitoa kwenye uchaguzi ulio pita.Tumewachoka CCM walisema wananchi wengi na kuanza kuimba tunaitaka CHADEMA ambaye ni mtetezi wa wanyonge..