Prof Lipumba kunguruma kesho kibandamaiti Zanzibar. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof Lipumba kunguruma kesho kibandamaiti Zanzibar.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkigoma, Mar 16, 2012.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  katika kutuliza hali ya hewa iliyokuwa imechafuliwa na kibaraka wa ccm Hamad Rashid mbunge wa wawi kupitia cuf, kesho mwenyekiti wa cuf ambaye ni Mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani kesho atawahutubia wakazi wa zanzibar na viunga vyake na baada yake kufanya hivyo kesho kutwa pemba.
   
 2. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna jipya! chama kinaelekea kuzimu yeye hana habari!
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  safisha uchafu huo Prof.
   
 4. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kibanda Maiti Kuna Makaburi? RIP KAFU
   
 5. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Ili kuepusha aibu mimi namshauri ahutubie kupitia wazee wa Buguruni
   
 6. m

  mzee wa mawe Senior Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu prof Lipumba mimi namuaminia maprofessor wa kizungu wenyewe wamesurrender sembuse hawa maprofessor wetu vichwa vya kuku!
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Bora aende huko huko kwa wanywa kahawa na wala halua. Huku Bara hatutaki chama cha KIDINI. Aende huko kwenye vikofia vya ajabu ajabu. Bull sh..it
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Prof. wa wala ubwabwa!
   
 9. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  CHADEMA inalipa mishahara walinzi wa kanisa analosali Josephine!
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Lipumba kwenye siasa ni sawa na headless chicken.
   
 11. KIRUNGI

  KIRUNGI Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani jaribuni kuchagua mambo yakuleta humu ndani,mtu anashabikia m.kiti wa chama taifa kwenda kuhutubia mkutano kibanda maiti,bila kujiuliza kwann chama anacho kiongoza hakishiriki uchaguzi arumelu????????????huko znz si wamo na serikalini?bara kuna nn?
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Umevimbiwa daku wewe.
   
 13. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Yakheeeeee...Sasa kibanda maiti tumeshapazoea yakheeee..hakuna jipyaa ... Wagonjwa wengine kukata roho kwao huja juu ghafla na kuacha wosia kabla ya kulala kabisa..So it seems na hawa kafu ndiyo hivyo tena Tulikipenda ila Mungu amekipenda zaidi...
   
 14. T

  Topical JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Walitakiwa waweke mgombea arumeru hapo nawalaumu Mtatiro na Seif wamechemsha changamoto hazikimbiwi
   
 15. d

  davidfrance82 Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kibanda maiti na mwembe Yanga tu....Arusha,Iringa,Mwanza je....huwezi kuwin election kwa style hii prof
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  aungurume yeye simba???
   
 17. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  jina la eneo wanapofanyia mkutano linafanana na hali ya hiki chama, ondoa neno "kibanda" linalofuatia ndo kafu.
   
 18. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Duh.. Hapo kwenye red pamenichanganya kidogo.. Maalim Seif yuko serikalini.. inayoongozwa na ccm.. Sasa hapo Muzorewa ni nani..? (Kwa msioelewa Abel Muzorewa alikuwa kibaraka aliepewa urais Rhodesia)
   
Loading...