Ukisikia mtu meru anasema kura siri yangu ujue anapigia chadema hiyo ndo kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukisikia mtu meru anasema kura siri yangu ujue anapigia chadema hiyo ndo kweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by THEO LYIMO, Mar 16, 2012.

 1. T

  THEO LYIMO Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf hapa arumeru ukisikia mtu anaseam kura siri yangu ujue kuwa ni kiongozi wa magamba na alikuwa mtu maarufu sana na wanasema wanataka wamwabishe lowasa kwa kumrudisha sioi thika akaendelee na kutafuta udiwani huko
   
 2. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kama ni kweli,hiyo imekaa vizuri
   
Loading...