Ukweli Kuhusu Ibrahim Lipumba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli Kuhusu Ibrahim Lipumba.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Mar 13, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kuna mengi yamesemwa kumhusu Mwenyekiti wa CUF Mh. Ibrahim Lipumba kutokana na safari yake ya Marekani. Ukweli ni Kwama, Dr. Lipumba alituma maombi kuhudhuria National Endowment For Democracy Jjini Washington DC. Hii ilikuwa ni Luncheon Presentation kuhusu democrasia Tanzania. Mh. Lipumba alitaka kuzungumzia maendeleo ya Tanznia tangu uhuru. Kwa hiyo mimi sioni hiyo mambo ya UN na sherehe kubwa ambayo watanzania na vyombo vya habari vimezusha. Dr. Lipumba alipewa kwa dakika 30 TU yeye kapitiliza kwa lisaa lizima..... Sasa uzushi sijui wachumi 500 , Mchumi aliyebobea, Kuishauri UN........!!!.Kupokewa kwa mbwembwe kote nilidhania ilikuwa na mengine lakini siyo hii presentation yake. Hii ndio video ya Lipumba na Document nzima. Kazi kwenu mchambue pumba na mchele....Lipumba Amezungumzia History......sasa muone Watanzania walivyo tupu kichwani kwa kuzusha.

  My Take mungu wa CCM-B alienda kumponda Nkapa na Kumwamgia mkuu wa CCM-A misifa. Sikiza

  [video=vimeo;34781996]http://vimeo.com/34781996[/video]

  Ukitaka Document Download hapa!

  http://www.ned.org/docs/IbrahimLipumba.pdf
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  What message are you trying to send? You know the country is full of lazy people, just be with them! Otherwise bado bongo tunahitaji safisha safisha bongo ya mtu!!
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Mbona kama una thread mbili zote umezichomeka humu pamoja? ya Malima inapaswa ijitegemee na ya huyu Mungu wa CUF nayo ijitegemee.
   
 4. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  watanzania wamezoea kudanganywa
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thanks Uhuru1....Wabongo wako desperate hata mtu akienda kupeleke presentation ya kukatika kwa umeme tunaweza kumpokea kwa kufunga barabara
   
 6. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,860
  Trophy Points: 280
  Waandishi wetu sii wafuatiliaji wa mambo,wangeweza kumuuliza hili jana alipozungumza nao kisha wana CUF wangejua kuwa juzi wamepoteza muda wao na kujitesa bure juani
   
 7. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  ndo maana tumebaki watu wa kuibiwa kila kitu. wamekuza hii kitu kana kwamba ni kikubwa mno kumbe hamna lolote
   
 8. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Thanks a lot kwa kutujulisha ukweli
   
 9. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh ...nimecheeeeka !
   
 10. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  kwa wenyeji wa Bukoba mtakumbuka zama hizo za 'mbunge wetu kaongea redioni...' Utamaduni huu wa kupongeza speech zisizo na kichwa wala miguu ni kansa inayotumaliza watanzania.
  Nampenda sana Kibaki...maneno machache,kiswahili kibovu lakini point nzito! Hebu ona moja ya maneno yake:
  .'....siku itafika,utapiga kura na utaenda nyumbani kwako na maisha yataendelea...sawa jamani? Na hiyo makelele na fitina ya kitu gani? Fanya kazi bwana!'
   
 11. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wandugu nielewesheni kidogo. Mbona humo wanamtambua lipumba ka Dr. na sio Prof.
   
 12. ismathew

  ismathew JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Political propaganda consequences.
   
 13. THE GEEK

  THE GEEK Member

  #13
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MKUU SI UNAWAJUA WALA HALWA NA WACHEZA BAO MISIKITINI WANAVYODANGANYANA???

  UMESAHAU KUNA MWENZAO ALIKUWA ANAWAAMBIA KULIPA KODI YA VAT NI MATOKEO YA MFUMO KRISTO NA NENO VAT NI KIFUPISHO CHA VATICAN?? THEN WAKAWA WANASEMA Takbiiiiiiiiir --- Allahuwakbar

  KWA KIFUPI HII JAMII YA WAFUASI WA CCM B ITAENDELEA KUCHELEWESHA SANA MAENDELEO YA TANZANIA COZ NI WATU WA KUDANGANYANA BILA KUULIZA WALA KUFANYA UTAFITI WOWOTE.
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  to add, we have Tanzanians like Lipumba in every corner of the world hadi China, maybe its because hatujui au tunapoliticize everything kiasi sasa cha ku-rank bila vigezo

  We have young boys and girsl who might have bigger roles in the global platforms lakini hata siku moja hukuti mavuvuzela mitaani

  Unless mapokezi yalikua ni namna ya kuonyesha KAFU is still alive, na kama hiyo ilikua nia, ni kweli KAFU ipo... maana walitukosesha ndege siku ile kwa kufunga barabarani
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Mkuu lipumba anastahili pongezi even if kaenda huko kufanya presentation,kwanini wasimchukue mchumi dr dr dr mwenzake akapresent tu?
   
 16. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  eeeeeeeeeeeeeeh yamekuwa hayo tena
   
 17. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo ni Lipumba again...na pumba zake.
   
 18. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Jamaa katpiga changa la macho. Sasa sijui atajitetea kwamba alienda UN ya wapi. Mtu kapewa dakika 30, yeye kapitiliza lisaa na kuaribu utaratimu mzima. Kweli wabongo wazima. Lipumba hoyeeeee.... CCM B hoyeeee

  Lishakufa hilo chama
   
 19. MANI

  MANI Platinum Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona tayari tmeshafanya hivyo kwani kwako umeme upo wa kutosha siku nzima?
   
 20. mwana wa mtu

  mwana wa mtu JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huu uzembe wa kusoma na kufuatilia mambo utatufikisha kubaya zaidi. So far, mtu kakaa miezi yote hiyo huko-kama mwenyekiti wa chama mojawapo kikubwa cha upinzani nchini, lakin WATU HAWAJAFUATILIA KWA KINA ALIKUWA ANAFANYA NINI, wanakimbia tu kwenda kumpokea kwa mbwembwe na hadithi za UN!!!!!
   
Loading...