upinzani ndani ya upinzani, chadema jiangalieni 2015 si mbali' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

upinzani ndani ya upinzani, chadema jiangalieni 2015 si mbali'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AdvocateFi, Mar 16, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Ni ukweli ulio wazi kwamba chadema ndio chama pekee cha upinzani kilichobaki ambacho ni mkombozi na mwarobaini wa Tanzania tunayoitaka. Binafsi nazikubali sana harakati za CHADEMA ktk kupinga udhalimu, ufisadi nk.. Japokuwa mapungufu yapo lakini si makubwa sana zaidi ya chama mufilisi CCM, wala si kigezo thabiti cha kukwamisha harakati za CHADEMA ktk kuipata Tanzania tuitakayo. lakini cha kusikitisha ni kwamba kuna genge la watu wahuni liloibuka na baadhi yao ni mamluki CCM ktk CHADEMA. Watu hawa wanajaribu kuleta upinzani ndani ya upinzani ili kukwamisha harakati za chama ktk ukombozi wa nchi yetu, Wahuni hawa wamekuwa wakipandikiza uongo kwa umma na kujaribu kuwachafua viongozi wa chama kutokana na kukosa vyeo ndani ya chama, genge la wahuni hawa wengi wao wanauelewa mkubwa juu ya chama hivyo wanajaribu kupotosha ukweli kwa umma ili kuwakatisha tamaa.
  MY TAKE
  Inabidi wanamageuzi msikate tamaa kutokana na hawa wahuni mufilisi wenye hasira za BAVICHA, wajibuni kwa hoja wale wote wanaoleta upinzani ndani ya upinzani pia jengeni chama kwani 2015 si mbali.
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  CCM nako kuna mamluki ya chadema basi!!!!

  Mkuu kikubwa ni hawa wapinzani kuwa genuine...waki mess up na ukweli watadaiwwa tu, haijalishi wako wapi

  chadema haina tatizo ni kuwa wameofautiana vision!!! Vision ya zito iko kuchukua nchi na rais atoke chadema
  vision ya mbowe ni kuongeza wabunge
  vision ya slaa ni kusema sana na kuwa maarufu mno na kutukuzwa kila kona , startegy ya siasa zero
  vision ya lema ni ugomvi tu na usharobaro
  Lissu anayo yake ambayo haijulikani

  wote hapo juu wako sawa,ili kiwe chama lazima kuwe na uwanja wa kujadili, kukubaliana na kukubali kutokukubaliana

  Halafu you sound like chadema wapumbavu sana hawana intelijinsia//

  WAKIPEWA NCHI ITAKUWAJE SASA UTALIA HIVI HIVI??
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Umetumia vizuri Uhuru wako wa kutoa maoni yako, na yatabaki kuwa maoni yako na si mtazamo wa watu wengine.
  Kwanza hakuna Mwanasiasa yeyote hapa duniani asiyependa kuwa maarufu, kwahiyo kama Dr Slaa amefanikiwa hilo huyu ndio Mwanasiasa bora, maana umaarafu hauji hivi hivi tu.
  Pili Zitto Kabwe amepoteza udhu wa kuja kuaminiwa kuwa mgombea urais ndani ya Chadema huyu ni mwasiasa kijana mahiri lakini mwene hulka na tamaa ya madaraka. Hafai
  Lisu kama ulikuwa humjui yeye vision yake ni kusimamia haki na kuona haki inatendeka.
   
 4. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Halafu eti mku, tuwaulize hawa jamaa. Hivi akitokea mtoto aseme "Huwa naona baba na mama ikifika usiku wakati wa kulala huwa wanakumbatiana halafu wanakatika kama Aisha Madinda wa Tawang pepeta" tutaacha kuamini? Baba wa mtoto ajitokeze na aseme hatukatikagi kama Aisha Madinda! Hawa lazima wajieleze mbele ya jamii.
   
Loading...